Kerr : Kumbe Simba SC walinidanganya kuhusu Mgambo
Kocha wa Simba, Dylan Kerr amefichua siri ambayo ni vigumu kuiamini. Alisema alilazimika juzi kupanga viungo wengi dhidi ya Mgambo JKT kutokana na kupewa taarifa kuwa timu hiyo inacheza soka la kushambulia kwa wakati wote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV18 Aug
UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.
Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.
Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...
10 years ago
Habarileo16 Sep
Mgambo yatamba kuizima Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Mgambo JKT ya Tanga, Bakari Shime amesema miongoni mwa michezo ambayo haimnyimi usingizi ni wa leo dhidi ya Simba utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Ni Simba vs Oljoro, Ashanti vs Mgambo
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, leo wanajitupa ndani ya dimba la Taifa jijini Dar es Salaam kuwaalika maafande wa JKT Oljoro ya Arusha katika pambano la Ligi Kuu ya Vodacom,...
11 years ago
Mwananchi08 Feb
Mgambo Shooting yaipania Simba
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Simba wazikomalia Mgambo, City
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Kerr ataka uvumilivu Simba
NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.
Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12, mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...
10 years ago
Habarileo10 Oct
Kerr ajipa matumaini Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema ana imani ya kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo jijini Mbeya. Akizungumza Dar es Salaam, Kerry alisema uwezekano wa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Sokoine upo, kwani kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo.
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Kerr amrithi Goran Simba