Simba wazikomalia Mgambo, City
Morogoro. Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola amesema bado ana imani ya kufanya vizuri katika mechi mbili zilizobaki za nje ya Dar es Salaam licha ya juzi kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMBEYA CITY NA MGAMBO JKT ZATOKA NGOMA DROO 1-1
11 years ago
Mwananchi08 Feb
Mgambo Shooting yaipania Simba
9 years ago
Habarileo16 Sep
Mgambo yatamba kuizima Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Mgambo JKT ya Tanga, Bakari Shime amesema miongoni mwa michezo ambayo haimnyimi usingizi ni wa leo dhidi ya Simba utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Ni Simba vs Oljoro, Ashanti vs Mgambo
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, leo wanajitupa ndani ya dimba la Taifa jijini Dar es Salaam kuwaalika maafande wa JKT Oljoro ya Arusha katika pambano la Ligi Kuu ya Vodacom,...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Niliyojionea Simba vs Mgambo JKT Tanga
“TULIKUWA tunamsikia tu Mzungu wa Simba. Kumbe ndie huyu, hana lolote,” alisikika mmoja wa mashabiki na wakazi wa Tanga wakati mechi ya maafande wa Mgambo JKT ya jijini hapa dhidi...
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Kocha wa Mgambo aelezea jinsi alivyoifunga Simba
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Kerr : Kumbe Simba SC walinidanganya kuhusu Mgambo