Iringa wasubiri ripoti ya NEMC
WAKAZI wa Iringa mjini wanasubiri matokeo ya tathmini ya athari ya mazingira, iliyofanywa na Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika eneo la Igumbilo mjini Iringa. Wiki nne zimepita tangu Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Bonaventura Baya alipoahidi kwamba tathmini hiyo, itafanywa kwa kipindi kisichozidi wiki mbili na matokeo yake kuwekwa hadharani.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV18 Aug
UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.
Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.
Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Madaktari wasubiri uchunguzi IMTU
10 years ago
Habarileo11 Jul
Wanachuo wasubiri fedha ya mafunzo
WANAFUNZI wa ualimu zaidi ya 2,000 wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) hawataenda shule walizopangiwa kwa ajili ya mafunzo mpaka serikali itakapowalipa fedha zao za kujikimu.
11 years ago
Habarileo12 Jun
Watanzania wasubiri bei kupanda, kushuka
WATANZANIA leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum. Tayari Waziri Saada alishaeleza kuwa makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, unaoanza Julai mwaka huu, yatakuwa Sh trilioni 19.6 kutoka makadirio ya Sh trilioni 18.2 ya Bajeti inayoisha muda wake.
10 years ago
BBCSwahili23 Jun
Keshi na Enyeama wasubiri uamuzi wa NFF
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Uchaguzi Simba wasubiri hatima ya katiba yao
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Mashabiki wasubiri filamu mpya ya Star Wars
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Madereva wa malori wasubiri msaada wa Waziri Sitta
10 years ago
Bongo Movies27 May
Dokii: Wanaosema Sina Jipya Kwenye Filamu Wasubiri
Staa mkongwe wa Bongo movies, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’ amesema kuwa wanaosema hana jipya kwenye Tania ya filamu wasubiri akusanye fedha kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madaiwani unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu kasha watajua kama amekwiusha au la.
Akizungumza na gazeti la Tanuru la Filamu, Dokii alisema kuwa kwa sasa hawezi kufanya mambo mawili kwani yana weza kumfanya asito kaiz nzuri bali nguvu zake amezielekeza kwenye shughuli hiyo ya kuwapigia debe...