Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanachuo wasubiri fedha ya mafunzo

WANAFUNZI wa ualimu zaidi ya 2,000 wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) hawataenda shule walizopangiwa kwa ajili ya mafunzo mpaka serikali itakapowalipa fedha zao za kujikimu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANACHUO WA ADEM WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO BODI YA MIKOPO

Uelewa finyu juu ya masuala ya utoaji wa mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu umeendelea kuwa chanzo cha baadhi ya wahitaji wa mikopo kulalamika bila kuanza kutafuta chanzo cha wao kutopata mikopo hiyo.
Hayo yamebainika hii leo katika ziara ya mafunzo ya wanachuo 147 kutoka Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) unaoendeshea shughuli zake Bagamoyo mkoani Pwani waliofika Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kwa ziara ya mafunzo.
Miongoni mwa maswali yaliyoulizwa...

 

11 years ago

Michuzi

ziara mafunzo ya wanachuo na wanafunzi wa shule za msingi bungeni dodoma leo

 Mbunge wa viti maalum,  Mhe.Susan Kiwanga akiwapa maelezo wanachuo kutoka chuo cha Uuguzi  cha Edgar Maranta Ifakara ambao wapo katika ziara ya kimafunzo Bunge.  Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wanafunzi kutoka Mvomero ambao wapo katika ziara ya kimafunzo katika kujionea shjughuli za Bunge.  Mhe.Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na na Wanafunzi kutoka Mvomero katika viwanja vya Bunge.  Mbunge wa Mvomero Mhe Amos Makala ambaye pia ni Naibu Waziri wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Elimu ya Juu walilia fedha za mafunzo

WANAFUNZI wa elimu ya juu nchini, wameitupia lawama Bodi ya Mikopo kwa kuwacheleweshea fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo. Wakizungumza na Tanzania Daima jana kwa njia ya simu,...

 

10 years ago

Vijimambo

Maafisa wa Upelelezi Kisiwani Pemba wakiwa katika mafunzo kuhusiana na Utakasishaji wa Fedha Haramu

Baadhi ya Maafisa Upelelezi Kisiwani Pemba, wakisikiliza maelezo ya kina kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, Juma Yussuf Ali , katika Mafunzo ya Mapambano juu ya fedha Haramu huko katika Ukumbi waHifadhi Pemba ,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba,ambae pia ni Msaidizi Kamishna wa Poliisi , Juma Yussuf Ali, akifunguwa mafunzo wa Maafisa wa Upelelezi wa Jeshi hilo Kisiwani Pemba , kuhusiana na Utakasishaji waFedha Haramu , iliofanyika katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chake Chake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bodi yaTaasisi ya UTT-PID ya Wizara ya Fedha pamoja na Menejimenti yake wafanya Ziara ya Mafunzo nchini China

kwana Bodi ya UTT-PID ikiongozwa na mwenyekiti wake Mrs. E Mlaki pamoja na Menejimenti wakiwa na wenyeji wao katika jiji la Chengdu ambapo walifanya ziara katika maeneo tofauti ya uwekezaji na manufaa wanayopata wananchi wa jiji hilo. Ziara hiyo ya siku Tano katika Miji tofauti inatarajia kukamilika Tarehe kumi kabla ya kurejea nyumbani.

Na Mwandishi Maalum

Bodi ya Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID), pamoja na Menejimenti yake ipo nchini China...

 

11 years ago

Habarileo

Iringa wasubiri ripoti ya NEMC

WAKAZI wa Iringa mjini wanasubiri matokeo ya tathmini ya athari ya mazingira, iliyofanywa na Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika eneo la Igumbilo mjini Iringa. Wiki nne zimepita tangu Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Bonaventura Baya alipoahidi kwamba tathmini hiyo, itafanywa kwa kipindi kisichozidi wiki mbili na matokeo yake kuwekwa hadharani.

 

11 years ago

Mwananchi

Madaktari wasubiri uchunguzi IMTU

>Baraza la Madaktari Tanganyika (TMC) limesema linasubiri majibu ya ripoti zilizoundwa kuchunguza sakata la utupaji holela wa viungo vya binadamu, kabla ya  kutoa adhabu stahiki kwa madaktari waliohusika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Keshi na Enyeama wasubiri uamuzi wa NFF

Mkufunzi wa timu ya soka nchini Nigeria Stephen Keshi amekutana na kamati ya nidhamu ya shirikisho la kandanda nchini humo, NFF mapema leo jumanne, ili kujibu maswali kuhusiana na kuwepo kwa jina lake katika orodha ya wasimamizi wa soka nchini Ivory Coas

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania wasubiri bei kupanda, kushuka

WATANZANIA leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum. Tayari Waziri Saada alishaeleza kuwa makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, unaoanza Julai mwaka huu, yatakuwa Sh trilioni 19.6 kutoka makadirio ya Sh trilioni 18.2 ya Bajeti inayoisha muda wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani