Bodi yaTaasisi ya UTT-PID ya Wizara ya Fedha pamoja na Menejimenti yake wafanya Ziara ya Mafunzo nchini China
Bodi ya UTT-PID ikiongozwa na mwenyekiti wake Mrs. E Mlaki pamoja na Menejimenti wakiwa na wenyeji wao katika jiji la Chengdu ambapo walifanya ziara katika maeneo tofauti ya uwekezaji na manufaa wanayopata wananchi wa jiji hilo. Ziara hiyo ya siku Tano katika Miji tofauti inatarajia kukamilika Tarehe kumi kabla ya kurejea nyumbani.
Na Mwandishi Maalum
Bodi ya Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID), pamoja na Menejimenti yake ipo nchini China...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 May
BODI YA UTT-PID NA MENEJIMENTI YAKE YAFANYA ZIARA YA MAFUNZO CHINA

Na Mwandishi MaalumBodi ya Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID), pamoja na Menejimenti yake ipo nchini China...
10 years ago
Michuzi11 May
ZIARA YA BODI YA UTT-PID NA MENEJIMENTI YAKE NCHINI CHINA

Na Mwandishi MaalumBodi ya Taasisi ya...
10 years ago
Vijimambo12 May
ZIARA YA BODI YA UTT-PID NA MENEJIMENTI YAKE ILIPOZURU CHINA YA SIKU 5 YAFANA


10 years ago
Dewji Blog11 May
Bodi ya UTT-PID na Menejimenti yake ilipozuru China kwa ziara ya siku 5 ya kujenga uzoefuu yafana
Bodi ya taasisi ya UTT-PID na Menejimenti yake wakia katika picha ya pamoja na uongozi wa kampuni ya Chengdu Engineering Corporation wakati wa picha ya pamoja. Waliosimama mbele (wa pili kutoka kulia) ni mjumbe wa bodi Bi. Janeth Mmari, akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa UTT-PID, Dr. Gration Kamugisha, akifuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya UTT-PID, Mrs Elpina Mlaki. Wengine ni wajumbe wa bodi hiyo ya UTT-PID pamoja na wenyeji wao wa nchini humo
Na Mwandishi Maalum
Bodi ya Taasisi ya Miradi...
10 years ago
Michuzi
UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA NDANI YA BANDA LA WIZARA YA FEDHA
Banda la UTT PID lipo jirani na kuingia katika Banda la Wizara ya Fedha upande wa kulia… karibuni sana wananchi mnaombwa kujitokeza kwa wingi mjipatie huduma mbali mbali zinazotolewa na taasisi hiyo ikiwemo huduma za uuzwaji wa viwanja katika...
10 years ago
GPL
UTT-PID YA WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI MAONESHO YA DAR PROPERTY 2015
10 years ago
GPL
UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA NDANI YA BANDA LA WIZARA YA FEDHA
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Taasisi ya UTT-PID chini ya Wizara ya Fedha yapanua barabara eneo la mradi wa viwanja Lindi
Muonekano wa viwanja vya Mabano vilivyopimwa na Taasisi ya UTT-PID kwa ushirikiano na Halmashauri vilivyopo Manispaa ya Lindi.
Baada ya kupima na kufanikiwa kuuza viwanja zaidi ya 2,500 katika fukwe za Mabano na Mmongo kwa ushirikiano na Manispaa ya Lindi, Mradi huo umeingia katika hatua ya upanuzi wa barabara kuu na za mitaa ndani ya mradi ambapo kwa ushirikiano huo zaidi ya Shilingi Billion 1 zinatarajiwa kutumika mpaka kukamilika kwake.
Mradi huo mkubwa zaidi nchini katika upimaji wa...
10 years ago
Dewji Blog02 May
Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu ya Wizara ya Fedha (UTT-PID) yashiriki Maonesho ya DAR PROPERTY 2015
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick (katikati), akipata maelezo toka kwa banda la UTT-PID juu ya Miradi wanayofanya katika mikoa mbalimbali nchini, kulia ni Uli Mtebe Afisa Mwandamizi Mahusiano na Masoko wa Taasisi ya UTT-PID. Mkuu wa Mkoa huyo alitembelea banda hilo leo Mei 2, wakati wa ufunguzi wa maonyesho hayo ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee V.I.P Hall.
Na Mwandishi Wetu
Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID) ipo kwenye...