Taasisi ya UTT-PID chini ya Wizara ya Fedha yapanua barabara eneo la mradi wa viwanja Lindi
Muonekano wa viwanja vya Mabano vilivyopimwa na Taasisi ya UTT-PID kwa ushirikiano na Halmashauri vilivyopo Manispaa ya Lindi.
Baada ya kupima na kufanikiwa kuuza viwanja zaidi ya 2,500 katika fukwe za Mabano na Mmongo kwa ushirikiano na Manispaa ya Lindi, Mradi huo umeingia katika hatua ya upanuzi wa barabara kuu na za mitaa ndani ya mradi ambapo kwa ushirikiano huo zaidi ya Shilingi Billion 1 zinatarajiwa kutumika mpaka kukamilika kwake.
Mradi huo mkubwa zaidi nchini katika upimaji wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 May
Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu ya Wizara ya Fedha (UTT-PID) yashiriki Maonesho ya DAR PROPERTY 2015
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick (katikati), akipata maelezo toka kwa banda la UTT-PID juu ya Miradi wanayofanya katika mikoa mbalimbali nchini, kulia ni Uli Mtebe Afisa Mwandamizi Mahusiano na Masoko wa Taasisi ya UTT-PID. Mkuu wa Mkoa huyo alitembelea banda hilo leo Mei 2, wakati wa ufunguzi wa maonyesho hayo ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee V.I.P Hall.
Na Mwandishi Wetu
Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID) ipo kwenye...
9 years ago
Michuzi
UTT-PID YAINGIA MAKUBALIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NJE KWA DHUMUNI LA KUENDELEZA VIWANJA VINAVYOMILIKIWA NA WIZARA KATIKA BALOZI MBALIMBALI UGHAIBUNI



10 years ago
Vijimambo19 Mar
MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WATEMBELEA MRADI MAPINGA SATELLITE WA UTT-PID ULIOPO BAGAMOYO

Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo.






*Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID)...
10 years ago
GPL
UTT-PID YA WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI MAONESHO YA DAR PROPERTY 2015
10 years ago
Michuzi
UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA NDANI YA BANDA LA WIZARA YA FEDHA
Banda la UTT PID lipo jirani na kuingia katika Banda la Wizara ya Fedha upande wa kulia… karibuni sana wananchi mnaombwa kujitokeza kwa wingi mjipatie huduma mbali mbali zinazotolewa na taasisi hiyo ikiwemo huduma za uuzwaji wa viwanja katika...
10 years ago
GPL
UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA NDANI YA BANDA LA WIZARA YA FEDHA
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea Mradi Mapinga Satellite wa UTT-PID uliopo Bagamoyo Mapinga
Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo.
*Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) ilianza kazi zake Julai 1, 2013. Taasisi hii ilirithi kazi za miradi zilizokuwa zinafanywa na Taasisi mama yaani UTT.
Andrew Chale wa Mo dewji blog aliyekuwa Bagamoyo
Baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi Machi 17, wametembelea miradi mbali mbali ya UTT-PID iliyopo Dar es Salaam ikiwemo ule wa Bagamoyo wa New Mapinga...
10 years ago
Dewji Blog08 May
Bodi yaTaasisi ya UTT-PID ya Wizara ya Fedha pamoja na Menejimenti yake wafanya Ziara ya Mafunzo nchini China
Bodi ya UTT-PID ikiongozwa na mwenyekiti wake Mrs. E Mlaki pamoja na Menejimenti wakiwa na wenyeji wao katika jiji la Chengdu ambapo walifanya ziara katika maeneo tofauti ya uwekezaji na manufaa wanayopata wananchi wa jiji hilo. Ziara hiyo ya siku Tano katika Miji tofauti inatarajia kukamilika Tarehe kumi kabla ya kurejea nyumbani.
Na Mwandishi Maalum
Bodi ya Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID), pamoja na Menejimenti yake ipo nchini China...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea miradi ya UTT-PID



