Elimu ya Juu walilia fedha za mafunzo
WANAFUNZI wa elimu ya juu nchini, wameitupia lawama Bodi ya Mikopo kwa kuwacheleweshea fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo. Wakizungumza na Tanzania Daima jana kwa njia ya simu,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA OMAN KUHUSU ELIMU YA JUU
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Mafunzo Elimu ya Juu
5 years ago
MichuziWAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU 3,200 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA VITENDO SEHEMU ZA KAZI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Waajiri na Vijana wanufaika wa Mafunzo ya Vitendo sehemu za Kazi “Internship Training” alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua mafunzo wanayopatiwa vijana hao na waajiri, Mkoani Iringa.
Sehemu ya Vijana wanufaika wa Mafunzo ya Vitendo sehemu za Kazi “Internship Training” wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera,...
9 years ago
StarTV15 Dec
ILO kutoa mafunzo kazini kwa wahitimu wa elimu ya juu kukabiliana na tatizo la ajira
Wakati Tanzania ikikabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana, vyuo vingi nchini bado vinatajwa kuwa na upungufu wa kutoa elimu kwa vitendo na kuwafanya vijana wanaomaliza elimu ya juu kushindwa kumudu ushindani katika soko la ajira.
Kutokana na upungufu huo unalisukuma Shirika la Kazi Duniani (ILO) kuanzisha mafunzo ya unagezi wakimaanisha mafunzo kazini.
Mafunzo ya unagezi ni mafunzo yanayotolewa kwa vijana katika maeneo yao ya kazi kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kipindi hiki ambacho...
11 years ago
MichuziWananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana
10 years ago
VijimamboMAONI YA MWIGULU NCHEMBA,FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KWA WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU
EXCLUSEIVEEEEE KUTOKA DODOMA
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AKATAA FEDHA ZA UMMA ZILIZOBAKIA BUNGE LA KATIBA KUTAFUNWA NA WAJUMBE WA BUNGE HILO,AAGIZA FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KUSAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU,KUJENGEA VITUO VYA AFYA NA KUSAIDIA MASIKINI.
Mwigulu Nchemba asema fedha zitakazookolewa kutokana na kutokuendelea bunge maalumu zipeslekwe kuwalipia ada vijana waliokosa mikopo ya elimu ya juu.
Sokoine wa Pili ndugu Mwigulu Nchemba ameshauri fedha...
11 years ago
GPLPSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
TAS walilia afya, elimu bora
CHAMA cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (TAS) Mkoa wa Mwanza, kimeiomba serikali kuipatia jamii hiyo huduma bora za afya na elimu, ikiwemo ofisi za kuendesha shughuli zao. Ombi...
10 years ago
Michuzi24 Feb
TAMWA YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI JUU YA KUPAMBANA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Na Fredy Mgunda, Iringa
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.Msisitizo huo...