Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatima kesi ya Pinda leo

HATIMA ya kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu Mizengo Pinda inatarajiwa kujulikana leo wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na upande wa mawakili wa Pinda pamoja na Mwanasheria Mkuu (AG).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hatima pingamizi kesi ya Pinda leo

Hatima ya kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda inatarajiwa kujulikana leo, wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na walalamikiwa katika kesi hiyo, Pinda na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).

 

10 years ago

Habarileo

Hatima ya kesi ya Lukaza Oktoba 8

HATIMA ya washitakiwa wawili wa kesi ya wizi wa Sh bilioni sita za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), itajulikana Oktoba 8 mwaka huu wakati Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itakapotoa uamuzi kama wana kesi ya kujibu au la.

 

10 years ago

Habarileo

Hatima kesi ya Mtikila Aprili 30

HATIMA ya kesi iliyofunguliwa na Mchungaji Christopher Mtikila katika Mahakama ya Rufaa akipinga uuzwaji wa jengo la iliyokuwa Forodhani Hoteli itajulikana Aprili 30 mwaka huu ambako Msajili wa Mahakama hiyo atasoma uamuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatima ya ugaidi kesi ya Uamsho wiki ijayo

Jaji Fauz Twaib wa Mahakama Kuu wiki ijayo atatoa uamuzi wa maombi ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi yanayowakabili viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki).

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Uchaguzi unasubiri hatima ya Katiba Mpya

Waziri Mkuu amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa yameanza lakini kikwazo ni msimamo wa Ukawa katika kupata Katiba Mpya kwa wakati uliopangwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Hatima ya nyumba za mabondeni leo

mabondeniNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

HATIMA ya nyumba zilizojengwa maeneo ya mabondeni katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salam itajulikana leo kama zitabomolewa au laa.

Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, inatarajia kutoa uamuzi huo, baada wananchi kufungua kesi wakipinga kubomolewa nyumba zao.
Uamuzi huo, unatarajiwa kutolewa mahakamani hapo mbele ya Jaji Panterine Kente wa mahakama hiyo baada ya wananchi wanane kwa niaba ya wenzao wanaoishi katika maeneo hayo kufungua kesi kupinga hatua ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hatima ya vigogo Kinondoni leo

HUKUMU ya kesi namba 38/2013 ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili mweka hazina wa Manispaa ya Kinondoni, Alfred Mlowe na wenzake 12, inatarajiwa kutolewa leo katika Mahakama ya Mkoa Tanga....

 

11 years ago

Mwananchi

Hatima ya Rage kujulikana leo

>Hatma ya Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage itajulikana leo wakati kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya mwenyekiti wake Jamal Malinzi atakapokutana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hatima ya mpango wa nyuklia wa Iran leo

Mazungumzo kuhusu mpango tata wa Iran wa nyuklia yameendelea nchini Uswisi na kuhudhuriwa na nchi sita

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani