TAARIFA YA MSIBA JIJINI DAR
.png)
Bi. Agnes Matle Ngula
24 Dec 1948 – 25 Feb 2014
Familia ya Bwana Venance Ngula inasikitika kutangaza kifo cha mkewe Bi. Agnes Matle Ngula kilichotokea saa 1.30 asubuhi siku ya Jumanne, tarehe 25 Februrari 2014, katika Hospitali ya TMJ, Dar Es Salaam- Tanzania.
Msiba upo nyumbani kwa familia ya Bw. Venance Ngula, eneo la Masaki, mkabala na Seacliff Appartments, Dar Es Salaam.
Mazishi yanatarajiiwa kufanyika Jumamosi, jijini Dar Es Salaam. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
TAARIFA YA MSIBA JIJINI MWANZA

11 years ago
Michuzi.jpg)
TAARIFA YA MSIBA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
.jpg)
11 years ago
GPL
KUTOKA KATIKA MSIBA WA GEORGE TYSON MBEZI MAKONDE JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi
UP DATES: MSIBA WA BANZA STONE NYUMBANI KWAO SINZA JIJINI DAR


Mawasiliano yakiendelea kupeana taarifa na ndugu wengine.

11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba wa Gebbo Peter nyumbani kwake Vingunguti,jijini Dar

10 years ago
VijimamboMatukio Msiba wa Mama Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Jijini Dar
10 years ago
MichuziUPDATES YA MSIBA WA MAMA KULWA, DOTTO NA NICO MWAIBALE JIJINI DAR
10 years ago
GPLMATUKIO MSIBA WA MAMA DOTTO, KULWA NA NICO MWAIBALE JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo
MTANZANIA WA DMV AHANI MSIBA WA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA JIJINI DAR ES SALAAM

Alawi (kushoto) akitoa mkono wa pole kwa Bi.Badria(Mama Mzazi wa Ally Mikidadi) siku ya Jumapili March 22, 2015 nyumbani kwa marehemu Magomeni Mapipa jijini Dar Es Salaam, kulia ni Bure mjomba wake Ally Mikidadi na kaka ya Bi. Badria. Ally Mikidadi ni mkazi wa Hyattsville, Maryland nchini Marekani aliyefiwa na baba yake mzazi nchini Tanzania na misba hapa DMV upo 6200 Ager Road, Hyattsville, Maryland.

