Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA MSIBA JIJINI MWANZA

Mwalimu Kulthum R. Mussa (Mwambambale) wa Nyakato National Mwanza anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mumewe Dr. Hassan Marekero Mdee kilichotokea katika Hospitali ya Bugando Mwanza tarehe 22.11.2015. Msiba upo nyumbani kwake Nyakato National Mahina karibu na kanisa la Roma. Heshima za mwisho zitatolewa siku ya Jumanne kuanzia saa 7 mchana nyumbani kwa Marehemu Mahina. Marehemu atasafirishwa siku ya Jumatano alifajiri kuelekea Moshi Uchira kwa mazishi ambayo yatafanyika siku ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA JIJINI DAR

Bi. Agnes Matle Ngula  24 Dec 1948 – 25 Feb 2014
Familia ya Bwana Venance Ngula inasikitika kutangaza kifo cha mkewe Bi. Agnes Matle Ngula kilichotokea saa 1.30 asubuhi siku ya Jumanne, tarehe 25 Februrari 2014, katika Hospitali ya TMJ, Dar Es Salaam- Tanzania.
Msiba upo nyumbani kwa familia ya Bw. Venance Ngula, eneo la Masaki, mkabala na Seacliff  Appartments, Dar Es Salaam.
Mazishi yanatarajiiwa kufanyika Jumamosi, jijini Dar Es Salaam. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA ZUIA AJALI SASA,TOA TAARIFA MAPEMA YATUA JIJINI MWANZA

  Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(Hawapo pichani)wakati wa kuendeleza kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema” kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa nibure kwa wateja wa Vodacom.Kampeni hiyo inayoendeshwa na jeshi la polisi  kikosi cha Usalama barabarani,Vodacom Tanzania na vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika  katika stendi ya mabasi ya Nyegezi...

 

10 years ago

GPL

KAMPENI YA ZUIA AJALI SASA,TOA TAARIFA MAPEMA YATUA JIJINI MWANZA‏

Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuendeleza kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama “Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema” kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom. Kampeni hiyo inayoendeshwa na Jeshi la Polisi  kikosi cha Usalama Barabarani, Mtandao Tanzania na...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya Msiba

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) anasikitika kutangaza kifo cha Mfanyakazi wa Wakala Mhandisi Charles M. Madinda kilichotokea ghafla leo jumamosi tarehe 8/3/2014 katika hospitali ya Amana – Ilala Dar es Salaam. Habari ziwafikie Wafanyakazi wote wa TANROADS, Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake zote pamoja na ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake Morogoro siku ya Jumanne tarehe 11/3/2014. Marehemu ataagwa kesho Jumapili...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA MINNESOTA

Ndugu, Jamaa na Marafiki,
Familia ya ndugu Joel & Janeth Mburu inasikitika kuwataarifu juu ya  msiba wa ghafla wa mama mzazi wa Janeth na Godson  Gabagambi uliotokea leo hii asubuhi-Karagwe, nchini Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika huko Karagwe, Tanzania  .
Kwa marekani, Msiba upo nyumbani kwa Ndugu Joel & Janeth Mburu, Minnesota  na watu wanakutanika nyumbani hapo kuanzia leo  kwa anwani ifuatayo:-5250 Villa WayEdina MN 55436.
Kwa Uingereza ,msiba upo kwa Peter Gabagambi ;61...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MSIBA DMV

JEFF DEO NKANDA (JAFFARI), Mtanzania mwenzetu DMV anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yake mzazi kilichotokea leo Tanzania. Jaffari anategemea kusafiri Jumatano Novemba 5, 2014 kuelekea Tanzania kumpimzisha mama yake katika nyumba yake ya milele . 
Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio utamaduni wetu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Jaffari kumpoteza mpendwa mama yake. 
Kwa yeyote anayetaka kutoa mkono wa pole anapatikana katika address hii  5701 UNION BRIDGET CT, BOWIE...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AZINDUA FILAMU MPYA YA 'I LOVE MWANZA' JIJINI MWANZA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), akisadiwa na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, kukata utepe kuzindua filamu mpya iitwayo ‘I Love Mwanza’ iliyoandaliwa na Lake Zone Youth Empowerment Foundation kwa kushirikiana na Tropical Media Tanzania Ltd, katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza Jumamosi usiku. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wa watatu kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha...

 

9 years ago

Michuzi

MSIBA BUGANDO NA NYAKATO NATIONAL MWANZA

Mwalimu Kulthum R. Mussa (Mwambambale) wa Nyakato National Mwanza anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mumewe Dr. Hassan Marekero Mdee (pichani) kilichotokea katika Hospitali ya Bugando Mwanza tarehe 22.11.2015. Msiba upo nyumbani kwake Nyakato National Mahina karibu na kanisa la Roma.  Heshima za mwisho zimetolewa siku ya Jumanne nyumbani kwa Marehemu Mahina. Marehemu atasafirishwa leo Jumatano alifajiri kuelekea Moshi Uchira kwa mazishi ambayo yatafanyika siku ya Alhamisi. “Innalilahi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya msiba Washington DC na Tanzania !

rBi Nyamiti Lusinde enzi za uhai wake

Mheshimiwa Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani, anasikitika kutangaza kifo cha Bi. Nyamiti Ivan Lusinde, aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington DC.

Bi. Nyamiti Ivan Lusinde  alifariki dunia Jumanne tarehe 17 Novemba,
2015 Dar Es Salaam, Tanzania ambapo alikuwa likizo yake ya mwaka.

Kitabu cha rambirambi kipo nyumbani kwa marehemu 20408
Honey Crisp Lane, Apartment E...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani