TAARIFA YA MSIBA DMV
JEFF DEO NKANDA (JAFFARI), Mtanzania mwenzetu DMV anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yake mzazi kilichotokea leo Tanzania. Jaffari anategemea kusafiri Jumatano Novemba 5, 2014 kuelekea Tanzania kumpimzisha mama yake katika nyumba yake ya milele .
Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio utamaduni wetu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Jaffari kumpoteza mpendwa mama yake.
Kwa yeyote anayetaka kutoa mkono wa pole anapatikana katika address hii 5701 UNION BRIDGET CT, BOWIE...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bnCVzIzhjvE/U4b9Jk1UQ1I/AAAAAAACrXw/8DDw4iO6t8g/s72-c/Mrs.+Aruken+G+Mushi.jpg)
Taarifa ya Msiba Tanzania na DMV
![](http://1.bp.blogspot.com/-bnCVzIzhjvE/U4b9Jk1UQ1I/AAAAAAACrXw/8DDw4iO6t8g/s1600/Mrs.+Aruken+G+Mushi.jpg)
Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr, Ashburn, VA 20147.
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na: David Kisanga (703)932-0540.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe
10 years ago
Vijimambo22 Mar
TAARIFA YA MSIBA DMV NA TANZANIA
10 years ago
Vijimambo04 Jan
MSIBA DMV
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SGTY5gIw5RU/U4y7ZU0_51I/AAAAAAACsNY/0borno3cDd4/s72-c/Mrs.+Aruken+G+Mushi+(1).jpg)
MISA YA MSIBA DMV
![](http://3.bp.blogspot.com/-SGTY5gIw5RU/U4y7ZU0_51I/AAAAAAACsNY/0borno3cDd4/s1600/Mrs.+Aruken+G+Mushi+(1).jpg)
Our Savior's Way Lutheran Church, 43115 Waxpool Rd, Ashburn, VA 20148 Ibada itaanza saa 6:00 mchana. Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na David Kisanga: 703-932-0540 Mercy Ligate: 240-461-9477. Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe...
10 years ago
Vijimambo13 Dec
MSIBA DMV NA TANZANIA
DMV msiba upo 4717 Eiderdown Ct, Owings Mills, MD 21117
Kwa taarifa zaidi na maelekezo piga simu Nambai 301 523 1378Rehema 202 904 5029home 410 363...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bnCVzIzhjvE/U4b9Jk1UQ1I/AAAAAAACrXw/8DDw4iO6t8g/s72-c/Mrs.+Aruken+G+Mushi.jpg)
Msiba Tanzania na DMV
![](http://1.bp.blogspot.com/-bnCVzIzhjvE/U4b9Jk1UQ1I/AAAAAAACrXw/8DDw4iO6t8g/s1600/Mrs.+Aruken+G+Mushi.jpg)
Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr, Ashburn, VA 20147.
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na: David Kisanga (703)932-0540.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-SGTY5gIw5RU/U4y7ZU0_51I/AAAAAAACsNY/0borno3cDd4/s1600/Mrs.+Aruken+G+Mushi+(1).jpg)
MISA YA MSIBA DMV
10 years ago
Vijimambo17 Apr
TANGAZO LA MSIBA DMV NA TANZANIA
Hapa DMV msiba upo 706 Chillum Rd, Apt 201, Hyttsville, MD 20783
Kupena pole na kufarijiana ndio malezi tuliyokulia ikiwemo upendo na ukarimu. Ukipata muda tafadhali pitia nyumbani kwa mfiwa utoe mkono wa pole au unaweza kumpigia simu 301 272 5922
Bwana ametoa, bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MSIBA NEW MEXICO, DMV NA TANZANIA
WAFIWA WANATARAJIA KWENDA NYUMBANI JUMAPILI AU JUMATATU KWA SASA UNAWEZA PIGA SIMU NA KUWAPA POLE WAFIWA WATAKAPORUDI TOKA TANZANIA WATATUJULISHA ILI TUWEZEFIKA NYUMBANI KWAO HUKU MAREKANI KUWAPA MKONO WA POLE.SIMU YA LEMMY MAMUYA (505)...