Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa ya msiba Washington DC na Tanzania !

rBi Nyamiti Lusinde enzi za uhai wake

Mheshimiwa Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani, anasikitika kutangaza kifo cha Bi. Nyamiti Ivan Lusinde, aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington DC.

Bi. Nyamiti Ivan Lusinde  alifariki dunia Jumanne tarehe 17 Novemba,
2015 Dar Es Salaam, Tanzania ambapo alikuwa likizo yake ya mwaka.

Kitabu cha rambirambi kipo nyumbani kwa marehemu 20408
Honey Crisp Lane, Apartment E...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WASHINGTONG DC NA TANZANIA


Mheshimiwa Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani, anasikitika kutangaza kifo cha Bi. Nyamiti Ivan Lusinde, aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington DC.


Bi. Nyamiti Ivan Lusinde  alifariki dunia Jumanne tarehe 17 Novemba, 2015 Dar Es Salaam, Tanzania ambapo alikuwa likizo yake ya mwaka.


Kitabu cha rambirambi kipo nyumbani kwa marehemu

20408 Honey Crisp Lane, Apartment E

Germantown, MD 20876



Maelezo zaidi kuhusu...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MSIBA DMV NA TANZANIA

NDUGU YETU ALLY MUSA MIKIDADI AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI NYUMBANI TANZANIA MIPANGO YA MAZISHI INAENDELEA HUKO NYUMBANI TANZANIA KAMA KAWAIDA NA MILA ZETU KUPEANA POLE NA KUFARIJIANA.TUMFARIJI NDUGU YETU KWA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUONDOKEWA NA BABA YAKE KIPENZINAMBA YA MFIWA NI201 628 2133.ADRESS6200 AGER ROADHYATTSVILLE MD 20782.

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya Msiba Tanzania na DMV


Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr, Ashburn, VA 20147. 
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na: David Kisanga (703)932-0540.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe 

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA


Mtanzania mwenzetu Mama Lulu John Maro Mwaluko amefariki dunia asubuhi ya siku ya Ijumaa tarehe 7 Machi 2014. Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha high school hapa New York. Mama Mwaluko alifariki baada ya kuugua ugonjwa wa saratani yaani kansa. Alikuwa akitibiwa huko katika hospitali ya Calvary huko Bronx, New York.
Mama Mwaluko alishawahi kukaa na Marehemu mumewe China na Marekani kama Wanadiplomasia na alishastaafu kufundisha mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa ya msiba Tanzania na Massachusetts


Familia ya Stambuli inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Idrissa Stambuli (32) kilichotokea Jumatatu tarehe 03/11/2014 huko Tanzania. Mazishi yatafanyika Jumatano tarehe 5/11/2014  baada ya salatul dhuhri huko Mbagala, Dar es salaam, Tanzania.

Kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani 17 Walsh Street, Springfield, Massachusetts 01109.

Tutafanya kisomo cha kumuombea marehemu Jumamosi Novemba 8, 2014 kuanzia saa kumi jioni (4pm) mpaka saa Tatu usiku (9pm) katika Masjid Al Baqi 148 Fort...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA MINNESOTA NA TANZANIA

Ndugu,Jamaa na Marafiki ,
Tunasikitika kuwataarifu ya kuwa Ndugu yetu na mwanajumuiya mwenzetu Elibariki Mshomi amefiwa na mdogo wake,Robert Mshomi huko Moshi Tanzania.Mazishi yamepangwa kufanyika Jumatatu June 23 2014 nyumbani kwao Moshi.   Kama ilivyo kawaida ya desturi yetu,tunaombwa kujitokeza kumfariji ndugu yetu katika kipindi hiki kigumu.
Tutakuwa na Memorial Service,maombi  na nafasi ya watu kuleta rambi rambi siku ya jumapili June 22nd 2014 saa kumi na nusu jioni (4.30pm)...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA, LEO NI SIKU YA MWISHO MWILI WA MAREHEMU UNAPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YA MILELE HUKO TANZANIA, WATANZANI TUTAKUTANA NYUMBANI KWA DR TEMBA

FLAVIAN IS FLAVIAN TEMBA:   1950 -2015

Alizaliwa Uru Shimbwe na alikuwa Mwalimu  Lyamungu Secondary School, Moshi Kilimamjaro Tanzania.
 Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania kwa Masikitiko makubwa tunaungana na Mweka na Mweka Hazina wetu Dr.Temba kutangaza kifo cha Kaka yake mpenzi Mzee Flavian Temba kilichotokea ghafla usiku wa  June 10,2015 katika Hospitali ya Mawenzi Moshi Kilimanjaro, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu wanajumuiya tuungane na Dr.Temba...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya Msiba

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) anasikitika kutangaza kifo cha Mfanyakazi wa Wakala Mhandisi Charles M. Madinda kilichotokea ghafla leo jumamosi tarehe 8/3/2014 katika hospitali ya Amana – Ilala Dar es Salaam. Habari ziwafikie Wafanyakazi wote wa TANROADS, Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake zote pamoja na ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake Morogoro siku ya Jumanne tarehe 11/3/2014. Marehemu ataagwa kesho Jumapili...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MSIBA DMV

JEFF DEO NKANDA (JAFFARI), Mtanzania mwenzetu DMV anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yake mzazi kilichotokea leo Tanzania. Jaffari anategemea kusafiri Jumatano Novemba 5, 2014 kuelekea Tanzania kumpimzisha mama yake katika nyumba yake ya milele . 
Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio utamaduni wetu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Jaffari kumpoteza mpendwa mama yake. 
Kwa yeyote anayetaka kutoa mkono wa pole anapatikana katika address hii  5701 UNION BRIDGET CT, BOWIE...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani