Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA MSIBA MINNESOTA NA TANZANIA

Ndugu,Jamaa na Marafiki ,
Tunasikitika kuwataarifu ya kuwa Ndugu yetu na mwanajumuiya mwenzetu Elibariki Mshomi amefiwa na mdogo wake,Robert Mshomi huko Moshi Tanzania.Mazishi yamepangwa kufanyika Jumatatu June 23 2014 nyumbani kwao Moshi.   Kama ilivyo kawaida ya desturi yetu,tunaombwa kujitokeza kumfariji ndugu yetu katika kipindi hiki kigumu.
Tutakuwa na Memorial Service,maombi  na nafasi ya watu kuleta rambi rambi siku ya jumapili June 22nd 2014 saa kumi na nusu jioni (4.30pm)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA MINNESOTA

Ndugu, Jamaa na Marafiki,
Familia ya ndugu Joel & Janeth Mburu inasikitika kuwataarifu juu ya  msiba wa ghafla wa mama mzazi wa Janeth na Godson  Gabagambi uliotokea leo hii asubuhi-Karagwe, nchini Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika huko Karagwe, Tanzania  .
Kwa marekani, Msiba upo nyumbani kwa Ndugu Joel & Janeth Mburu, Minnesota  na watu wanakutanika nyumbani hapo kuanzia leo  kwa anwani ifuatayo:-5250 Villa WayEdina MN 55436.
Kwa Uingereza ,msiba upo kwa Peter Gabagambi ;61...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA MINNESOTA

Ndugu, Jamaa na Marafiki,
Familia ya ndugu Joel & Janeth Mburu inasikitika kuwataarifu juu ya  msiba wa ghafla wa mama mzazi wa Janeth na Godson  Gabagambi uliotokea leo hii asubuhi-Karagwe, nchini Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika huko Karagwe, Tanzania  .
Kwa marekani, Msiba upo nyumbani kwa Ndugu Joel & Janeth Mburu, Minnesota  na watu wanakutanika nyumbani hapo kuanzia leo  kwa anwani ifuatayo:-5250 Villa WayEdina MN 55436.
Kwa Uingereza ,msiba upo kwa Peter Gabagambi ;61...

 

10 years ago

Vijimambo

Msiba Mwingine Minnesota

Ndugu ,Jamaa na Marafiki .Tunasikitika kuwataarifu ya kuwa Mama Mzazi wa Cuthbert (CM) na Martha Lema amefariki dunia jana usiku Arusha Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kule Machame ,Tanzania .
Kwa Marekani, Msiba utakuwepo nyumbani kwa CM & Martha huko Apple Valley -Minnesota.Adress:15483 Flight Way,Apple Valley, MN 55124.
 Kama ilivyo desturi yetu,tutakutanika nyumbani kwao leo jioni kuanzia saa kumi jioni kuwafariji na kuleta rambi rambi zetu kwa pamoja.Tunaomba tujitokeze...

 

10 years ago

Michuzi

Msiba Mwingine Minnesota-Update 1

Ndugu ,Jamaa na Marafiki .Tunasikitika kuwataarifu ya kuwa Mama Wuyande Maleko Lema ambaye ni Mama Mzazi wa Cuthbert (CM) na Martha Lema wa Minnesota amefariki dunia jana usiku Arusha Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kule Machame ,Tanzania .
Kwa Marekani, Msiba utakuwepo nyumbani kwa CM & Martha huko Apple Valley -Minnesota.Adress:15483 Flight Way,Apple Valley, MN 55124.
 Kama ilivyo desturi yetu,tutakutanika nyumbani kwao leo jioni kuanzia saa kumi jioni kuwafariji na kuleta rambi rambi...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA


Mtanzania mwenzetu Mama Lulu John Maro Mwaluko amefariki dunia asubuhi ya siku ya Ijumaa tarehe 7 Machi 2014. Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha high school hapa New York. Mama Mwaluko alifariki baada ya kuugua ugonjwa wa saratani yaani kansa. Alikuwa akitibiwa huko katika hospitali ya Calvary huko Bronx, New York.
Mama Mwaluko alishawahi kukaa na Marehemu mumewe China na Marekani kama Wanadiplomasia na alishastaafu kufundisha mwaka...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya msiba Washington DC na Tanzania !

rBi Nyamiti Lusinde enzi za uhai wake

Mheshimiwa Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani, anasikitika kutangaza kifo cha Bi. Nyamiti Ivan Lusinde, aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington DC.

Bi. Nyamiti Ivan Lusinde  alifariki dunia Jumanne tarehe 17 Novemba,
2015 Dar Es Salaam, Tanzania ambapo alikuwa likizo yake ya mwaka.

Kitabu cha rambirambi kipo nyumbani kwa marehemu 20408
Honey Crisp Lane, Apartment E...

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa ya msiba Tanzania na Massachusetts


Familia ya Stambuli inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Idrissa Stambuli (32) kilichotokea Jumatatu tarehe 03/11/2014 huko Tanzania. Mazishi yatafanyika Jumatano tarehe 5/11/2014  baada ya salatul dhuhri huko Mbagala, Dar es salaam, Tanzania.

Kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani 17 Walsh Street, Springfield, Massachusetts 01109.

Tutafanya kisomo cha kumuombea marehemu Jumamosi Novemba 8, 2014 kuanzia saa kumi jioni (4pm) mpaka saa Tatu usiku (9pm) katika Masjid Al Baqi 148 Fort...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MSIBA DMV NA TANZANIA

NDUGU YETU ALLY MUSA MIKIDADI AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI NYUMBANI TANZANIA MIPANGO YA MAZISHI INAENDELEA HUKO NYUMBANI TANZANIA KAMA KAWAIDA NA MILA ZETU KUPEANA POLE NA KUFARIJIANA.TUMFARIJI NDUGU YETU KWA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUONDOKEWA NA BABA YAKE KIPENZINAMBA YA MFIWA NI201 628 2133.ADRESS6200 AGER ROADHYATTSVILLE MD 20782.

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WASHINGTONG DC NA TANZANIA


Mheshimiwa Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani, anasikitika kutangaza kifo cha Bi. Nyamiti Ivan Lusinde, aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington DC.


Bi. Nyamiti Ivan Lusinde  alifariki dunia Jumanne tarehe 17 Novemba, 2015 Dar Es Salaam, Tanzania ambapo alikuwa likizo yake ya mwaka.


Kitabu cha rambirambi kipo nyumbani kwa marehemu

20408 Honey Crisp Lane, Apartment E

Germantown, MD 20876



Maelezo zaidi kuhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani