RAY AMSALITI CHUCHU KWA HUSNA, WANASWA USIKU
![](http://api.ning.com:80/files/uCeLa4uwiH80DCrseGuYm3XkPXGQEckJAcCPPt5xWRv4yymOJdqEwPXtZLckRrWV7fAL2X-kUwaB0OHqfBvM9TSXOERHsOJa/1.jpg?width=650)
Musa mateja MUIGIZAJI nyota wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’, amedaiwa kumsaliti mpenzi wake wa siku nyingi, Chuchu Hans baada ya kukutwa akiwa amepozi kimahaba na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011, Husna Maulid katika Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar, hivi karibuni. Muigizaji nyota wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ akipozi kimahaba na Husna Maulid. Wawili hao waliokuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka
Inasemekana penzi kati ya waigizaji Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/s7s9Z08DG1x1H38DbZ5QoeAvqRMWF9qw81lC6XpI0Eo862*gFpdACO2TVB7d39Pem1d3*YafqMzzcBpGp9*WeEpTFHqMK4qE/CHUCHU.jpg?width=650)
CHUCHU AKATALIWA KWA AKINA RAY
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcreM0c1gpUfwU*9fPZNSDp8jEe7K2VgKoF3-EGhGeUqn-mbVKjY6ZF*n2qfJYVD2zHLWAi9COROLFB4wrXpzx-d/chuhcu.jpg?width=650)
CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Chuchu: Ray na Johari si Wapenzi
Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi,’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani.
Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).
‘’Ninachojua mimi Ray...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnWtmstI26KCL4R8O5*jDHcEuhNFcr7n2j9numlhuhdPSKq0s-VL8*iyYQ69DYqnbnbjEtXyxydgiLAIz64DpmI9/chuchu.jpg)
CHUCHU ARINGISHIA PENZI LA RAY
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0BMl9*Jv7CjNUmagNWeblx0AQvRSPEnbH4v0pZzLFbN-YrVG8J0k4VwJTkB7JC9nI3-lvu6behrZZGDkgcbRDyb/JUMAMOSI.jpg)
CHUCHU AMFUATA RAY UKAWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6db7jayaCRoC2zGr2yLUjMhact411lVYXkFF8pObpn6XM8EpRbuVphY8eR*vz5n11j6u0Jq-gEKHNHp8tAJ90H84/ray.jpg?width=650)
RAY, CHUCHU HANS NI PIGO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtEwF*00tFiC9*CcSUdJ1hOELA3fuHDuHPalNLBjxu2n8s-HmLrovTcwsBuhN5QkWgtaG9FcCiyIkWp2TxaA5exom/VincentKigosi5312.jpg?width=650)
RAY AFICHUA SIRI YA CHUCHU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KjzU17zlGiaVq52Px9WT2D76KnrYwGLkf6hsi5G-XKRuy6-Y4eAIVd0qqvAWHzhko5EpzwrZiBksUBjYu*NsZbN56ZQ*Yf9K/chuchu.jpg)
CHUCHU: HAPA RAY KAFIKA!