Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA MPYA JUU YA NDEGE NYINGINE YA MALAYSIA ILIYOANGUKA UKRAINE.

Ndege ya Malaysia iliyokuwa imebeba abiria 295 ndani yake imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikitokea Amsterdam kwenda Kuala Lumpur, kufuatia tuhuma kuwa ilitunguliwa.Miili kadhaa ya watu imesambaa katika eneo ilipoanguka ndege hiyo karibu na kijiji cha Grabovo, kinachodaiwa kushikiliwa na waasi.Ndege hiyo ya MH17 ilikuwa inakaribia kuingia katika ardhi ya Urusi wakati ilipopoteza mawasiliano.Pande zote mbili serikali ya Ukraine na waasi wamekanusha kuitungua ndege hiyo katika mji ulio karibu...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Malaysia yaua 295 Ukraine

Ndege ya shirika la Malaysian ikiwa na abiria 295 imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikiwa safarini kutoka Amsterdam na kuwaua wote.

 

11 years ago

Mwananchi

Miili zaidi ya 100 yaokotwa baada ya ndege ya Malaysia kuanguka Ukraine

Mabaki ya miili zaidi ya 100 yameokotwa jirani na eneo ilipoanguka ndege ya Malaysian Airlines kule Grabovo jirani na mpaka wa Ukraine na Urusi leo.

 

11 years ago

GPL

SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…

 

10 years ago

Michuzi

ATCL yazindua ndege nyingine mpya aina ya CRJ - 100

Meneja wa Air Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Bw James Mbago akizungumza na waandishi wakati wa uzinduzi wa ndege mpya ya shirika hilo aina ya CRJ-100 yenye uwezo wa kubeba abiria 50, mara baada ya ndege hiyo kutua ikitokea mkoani Kigoma. Huo ukiwa ni mkakati wa kimaendeleo wa shirika hilo katika kuongeza idadi ya ndege na safari zake.  Abiria wakishuka toka kwenye ndege mpya ya Shirika la Ndege la Taifa, Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ-100 yenye...

 

11 years ago

GPL

PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA

Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi: Ndege iliyoanguka Misri ililipuliwa

Urusi imethibitisha kuwa ndege ya Metrojet iliyoanguka na kuua watu 224 nchini Misri mwezi uliopita likuwashambulizi la kigaidi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi:Ndege iliyoanguka Misri ilivunjikia angani

Mtaalamu mmoja wa Usalama wa safari za ndege kutoka Urusi amesema ndege iliyoanguka Misri ilivunjika ikiwa angani

 

5 years ago

BBCSwahili

Manusura wa ndege ya Pakistan iliyoanguka amesema alichokiona ni 'moto tu'

Karibia watu 97 wamekufa baada ya ndege kuanguka juu ya makazi ya watu

 

11 years ago

GPL

SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI

Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani