ATCL yazindua ndege nyingine mpya aina ya CRJ - 100
![](http://4.bp.blogspot.com/-wqIomO2YHqI/VOGpD4dr5RI/AAAAAAACz4I/rZs6FSJ0irk/s72-c/ATC%2BPIX%2B3.jpg)
Meneja wa Air Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Bw James Mbago akizungumza na waandishi wakati wa uzinduzi wa ndege mpya ya shirika hilo aina ya CRJ-100 yenye uwezo wa kubeba abiria 50, mara baada ya ndege hiyo kutua ikitokea mkoani Kigoma. Huo ukiwa ni mkakati wa kimaendeleo wa shirika hilo katika kuongeza idadi ya ndege na safari zake.
Abiria wakishuka toka kwenye ndege mpya ya Shirika la Ndege la Taifa, Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ-100 yenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Mar
ATCL yapata ndege mpya kutoka Canada CRJ-200
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZCuoM7SJtaY/Uz5Jt19m2MI/AAAAAAACeIs/3DHA6YlSAmk/s72-c/Ndege+ya+CRJ-200.jpg)
Ndege ya CRJ-200 yaboresha utendaji wa ATCL, yarejesha imani kwa abiria
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZCuoM7SJtaY/Uz5Jt19m2MI/AAAAAAACeIs/3DHA6YlSAmk/s1600/Ndege+ya+CRJ-200.jpg)
Aidha, shirika hilo limeweza kutoa nauli maalum kwa...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Ndege ‘mpya’ ATCL majanga
SIKU chache baada ya Shirika la Ndege Air Tanzania (ATCL), kujinadi kwamba limenunua ndege mpya aina ya CRJ 200, imebainika kwamba ndege hiyo ni chakavu na ni mzigo kwa taifa...
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
ATCL yapata ndege mpya
SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya CRJ-200 ya nchini Canada yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa...
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Wacheza dili wa ndege ‘mpya’ ATCL hawa hapa
VIGOGO wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), waliofanya dili la kukodisha ndege chakavu aina ya CRJ 200 na kutangaza kwamba wameinunua, wamebainika. Vigogo hao wamebainika katika mwendelezo wa uchunguzi uliofanywa...
10 years ago
MichuziZEST YAZINDUA AINA MPYA YA SIMU
Kampuni ya Kimataifa ya Zest imezindua simu mpya zenye huduma zote muhimu kwa bei nafuu.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu hizo jijini Dar es Salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Salum Awadh amesema kuwa simu hizo ambazo ni imara zitauzwa kwa bei nafuu ili kila mtu aweze kununua.
"tumeingiza sokoni simu mpya aina ya 7 Mobile ambazo zina huduma za mitandao ya kijamii ikiwemo Internet, Whatsap pamoja na Facebook huku bei yake ikiwa ni 35,000, aina nyingine ni Tablet...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-deSGXbYtAnM/U63X5ZRl79I/AAAAAAAA5po/RwBI-bqKpZY/s72-c/1.jpg)
AIRTEL YAZINDUA SIMU MPYA AINA YA IPHONE 5S
![](http://1.bp.blogspot.com/-deSGXbYtAnM/U63X5ZRl79I/AAAAAAAA5po/RwBI-bqKpZY/s1600/1.jpg)
11 years ago
CloudsFM18 Jul
TAARIFA MPYA JUU YA NDEGE NYINGINE YA MALAYSIA ILIYOANGUKA UKRAINE.
Ndege ya Malaysia iliyokuwa imebeba abiria 295 ndani yake imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikitokea Amsterdam kwenda Kuala Lumpur, kufuatia tuhuma kuwa ilitunguliwa.
Miili kadhaa ya watu imesambaa katika eneo ilipoanguka ndege hiyo karibu na kijiji cha Grabovo, kinachodaiwa kushikiliwa na waasi.Ndege hiyo ya MH17 ilikuwa inakaribia kuingia katika ardhi ya Urusi wakati ilipopoteza mawasiliano.
Pande zote mbili serikali ya Ukraine na waasi wamekanusha kuitungua ndege hiyo katika mji ulio karibu...