Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAZINDUA SIMU MPYA AINA YA IPHONE 5S

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel, Prisca Tembo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZEST YAZINDUA AINA MPYA YA SIMU

Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Kimataifa ya Zest imezindua simu mpya zenye huduma zote muhimu kwa bei nafuu.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu hizo jijini Dar es Salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Salum Awadh amesema kuwa simu hizo ambazo ni imara zitauzwa kwa bei nafuu ili kila mtu aweze kununua.

"tumeingiza sokoni simu mpya aina ya 7 Mobile ambazo zina huduma za mitandao ya kijamii ikiwemo Internet, Whatsap pamoja na Facebook huku bei yake ikiwa ni 35,000, aina nyingine ni Tablet...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yazindua simu mpya

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel, imetangaza ushirika wake na kampuni kubwa inayotengeneza simu za mkononi aina ya Apple. Airtel imeweka historia kwa kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano...

 

10 years ago

Michuzi

Huawei yazindua simu mpya aina ya Ascend 6-inch Mate 7 jijini Dar leo

Meneja wa Kampuni ya vifaa vya teknolojia ya Huawei Tanzania, Peter Zhang (kulia) na Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo (kushoto) wakionyesha simu mpya aina ya Smartphone 6-inch Ascend Mate 7 katika hafla ya uzinduzi wa simu hiyo jijini Dar es Salaam leo. Meneja wa Kampuni ya vifaa vya teknolojia ya Huawei Tanzania, Peter Zhang (kulia) na Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo (katikati) wakionyesha simu mpya aina ya Smartphone 6-inch Ascend Mate 7 katika hafla ya uzinduzi wa...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL KUPITIA HUDUMA YA SWITCH ON YAZINDUA OFA KAMBABE YA SIMU NA TECNO H5 MPYA‏

Kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Bi Prisca Tembo na Meneja Biashara wa Techno bw, Marco Wang wakionyesha simu mpya ya TechoH5 iliyoingizwa sokoni ikiwa na ofa kabambe itakaowawezesha wateja wa Airtel kupata simu ya kisasa pamoja na vifurushi vya internet ya kudumu kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo
Kushoto ni Afisa Mauzo wa airtel Nizar Aladawy na Afisa Mauzo wa Techno bi, Lolinda Joshman wakionyesha simu mpya ya TechoH5...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yazindua huduma mpya ya mitindo kwa njia ya simu kwa kushirikiana na Mbunifu Mahiri Afrika Mustafa hassanali.

 Mbunifu nguli wa mitindo Afrika, Mustafa Hassanali akizungumza na wageni waalikwa kuhusiana na huduma mpya ya kuwa karibu naye kwa mashabiki wa mitindo kupata taarifa zake kupitia simu zao za  mkononi za Airtel  kwa kupiga *148*82# na moja kwa moja utakuwa umeunganishwa na huduma hiyo na kutozwa shilingi 90 za kitanzania kwa siku.Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel inayotoa huduma nafuu na yenye wigo mpana zaidi wa mawasiliano, imeshirikiana na mbunifu wa mitindo Afrika ,Mustafa Hasanali...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY TIMIZA MJINI DODOMA

 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi (wa tatu kushoto), Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel, Arindam Chakrabarty (kulia) wakipiga makofi baada ya kuzindua rasmi huduma mpya ya Airtel Money Timiza, katika viwanja vya...

 

9 years ago

Michuzi

Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama "Airtel care App"  Application hii mpya ya "Airtel care App" ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa "Airtel care App" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY TIMIZA MJINI DODOMA‏

 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi (wa tatu kushoto), Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel, Arindam Chakrabarty (kulia) wakipiga makofi baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani