Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZEST YAZINDUA AINA MPYA YA SIMU

Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Kimataifa ya Zest imezindua simu mpya zenye huduma zote muhimu kwa bei nafuu.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu hizo jijini Dar es Salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Salum Awadh amesema kuwa simu hizo ambazo ni imara zitauzwa kwa bei nafuu ili kila mtu aweze kununua.

"tumeingiza sokoni simu mpya aina ya 7 Mobile ambazo zina huduma za mitandao ya kijamii ikiwemo Internet, Whatsap pamoja na Facebook huku bei yake ikiwa ni 35,000, aina nyingine ni Tablet...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA SIMU MPYA AINA YA IPHONE 5S

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya ya iPhone 5s pamoja na ofa kabambe kwa wateja wa Airtel, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Ofa hiyo itawawezesha wateja wa Airtel kupata sms 5000, muda wa maongezi dakika 1500 pamoja na kifurushi cha internet cha 3GB. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel, Prisca Tembo...

 

10 years ago

Michuzi

Huawei yazindua simu mpya aina ya Ascend 6-inch Mate 7 jijini Dar leo

Meneja wa Kampuni ya vifaa vya teknolojia ya Huawei Tanzania, Peter Zhang (kulia) na Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo (kushoto) wakionyesha simu mpya aina ya Smartphone 6-inch Ascend Mate 7 katika hafla ya uzinduzi wa simu hiyo jijini Dar es Salaam leo. Meneja wa Kampuni ya vifaa vya teknolojia ya Huawei Tanzania, Peter Zhang (kulia) na Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo (katikati) wakionyesha simu mpya aina ya Smartphone 6-inch Ascend Mate 7 katika hafla ya uzinduzi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA

  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. Uzinduzi wa simu hiyo toleo jipya ukiendelea.

 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana  (kulia), akiwagawia zawadi ya simu hiyo baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali. Wanahabari wakipokea zawadi ya simu hiyo ya kisasa toleo...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8

 Meneja  Mkazi wa kampuni  ya Simu za mkononi,  Peter  Zhang akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu  uzinduzi wa simu mpya ya kisasa ya Huawei P8 katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence  leo Jiji Dar es Salaam. Mkurungenzi wa Masoko  wa Huawei Tanzania Mamson Mjwala  akizungumza juu ya ubora wa betri ya simu hiyo aina ya Huawei P8 kwamba mfumo wa simu imezingatia matumizi ya muda mrefu mtumiaji anaweza kutumia simu kwa  siku nzima bila kuiongezea umeme huku kwa wale watumiaji...

 

10 years ago

Michuzi

ATCL yazindua ndege nyingine mpya aina ya CRJ - 100

Meneja wa Air Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Bw James Mbago akizungumza na waandishi wakati wa uzinduzi wa ndege mpya ya shirika hilo aina ya CRJ-100 yenye uwezo wa kubeba abiria 50, mara baada ya ndege hiyo kutua ikitokea mkoani Kigoma. Huo ukiwa ni mkakati wa kimaendeleo wa shirika hilo katika kuongeza idadi ya ndege na safari zake.  Abiria wakishuka toka kwenye ndege mpya ya Shirika la Ndege la Taifa, Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ-100 yenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yazindua simu mpya

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel, imetangaza ushirika wake na kampuni kubwa inayotengeneza simu za mkononi aina ya Apple. Airtel imeweka historia kwa kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano...

 

10 years ago

Michuzi

HUAWEI yazindua simu mpya ya Ascend P8

Baadhi ya waandishi walioudhuria uzinduzi wa simu mpya ya Huawei Ascend P8, iliyozinduliwa hivi karibuni jijini London 
KAMPUNI nguli sekta ya teknolojia  ya habari na mawasiliano ya Huawei imezindua simu mpya aina ya Ascend P8 ikiwa ni muendelezo wa kampuni hiyo kuleta mapinduzi kwenye nyanja ya mawasiliano ulimwenguni. Akizungumza kwenye uzinduzi wa simu hiyo kimataifa uliofanyika kwenye jiji la London, Uingereza mwishoni mwa wiki, Afisa Mtendaji Mkuu wa Biashara wa kampuni hiyo, Bw....

 

10 years ago

GPL

SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA GALAXY S6

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia John Mngogo akipata maelezo kutoka kwa Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics Tanzania wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S6 iliyozinduliwa jana kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam , Kushoto ni Sylvestre Manyara Nteere , Meneja wa Mauzo na Usambazaji. Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics...

 

10 years ago

BBCSwahili

Google yazindua huduma mpya ya simu

Kampuni ya Google imatangaza kuwa itazindua huduma mpya nchini Marekani ambayo inaweza kutumiwa wakati wa safari za nje

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani