Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATCL yapata ndege mpya kutoka Canada CRJ-200

>Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL),limepata ndege nyingine aina ya CRJ-200 ya Canada yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake madhubuti wa kuimarisha huduma zake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ndege ya CRJ-200 yaboresha utendaji wa ATCL, yarejesha imani kwa abiria

Ndege ya Shirika la ndege la Air Tanzania aina ya CRJ-200, yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa imetua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya hivi karibuni  =====  =======  === SHIRIKA la Ndege la Air Tanzania limeweka rekodi ya ongezeko la abiria kwa asilimia 57 wiki chake baada ya kupokea  ndege ya kukodi yenye uwezo wa kubeba abiria 50 aina ya CRJ-200 pamoja kuiongezea uwezo wa kuruka kwa wakati kwa asilimia 98.
Aidha, shirika hilo limeweza kutoa nauli maalum kwa...

 

10 years ago

Michuzi

ATCL yazindua ndege nyingine mpya aina ya CRJ - 100

Meneja wa Air Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Bw James Mbago akizungumza na waandishi wakati wa uzinduzi wa ndege mpya ya shirika hilo aina ya CRJ-100 yenye uwezo wa kubeba abiria 50, mara baada ya ndege hiyo kutua ikitokea mkoani Kigoma. Huo ukiwa ni mkakati wa kimaendeleo wa shirika hilo katika kuongeza idadi ya ndege na safari zake.  Abiria wakishuka toka kwenye ndege mpya ya Shirika la Ndege la Taifa, Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ-100 yenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ATCL yapata ndege mpya

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya CRJ-200 ya nchini Canada yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndege ‘mpya’ ATCL majanga

SIKU chache baada ya Shirika la Ndege Air Tanzania (ATCL), kujinadi kwamba limenunua ndege mpya aina ya CRJ 200, imebainika kwamba ndege hiyo ni chakavu na ni mzigo kwa taifa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wacheza dili wa ndege ‘mpya’ ATCL hawa hapa

VIGOGO wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), waliofanya dili la kukodisha ndege chakavu aina ya CRJ 200 na kutangaza kwamba wameinunua, wamebainika. Vigogo hao wamebainika katika mwendelezo wa uchunguzi uliofanywa...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS ABADILISHA WAKUU WA WILAYA 10, DARRY RWEGASIRA AONDOLEWA KARAGWE, KYERWA YAPATA MPYA KUTOKA MKALAMA.


Rais Kikwete amemteua Bw Antony Mavunde kuwa mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuanzia leo jumatatu 25 may 2015, huku akifanya uhamisho wa wakuu wa wilaya 10 kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa wilaya mbalimbali nchini.

Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa mkuu wa wilaya Karagwe Darry Rwegasira, amepelekwa wilaya ya Biharamulo, huku Dc Misenyi Fadhil Nkulu, akipelekwa wilaya ya Mkalama.

Elias Choro John Tarimo, ametolewa Biharamulo kwenda Chunya mkoani Mbeya, huku Deodartus...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndege ATCL yarejesha imani kwa abiria

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limeweka rekodi ya ongezeko la abiria kwa asilimia 57 wiki chake baada ya kupokea  ndege ya kukodi yenye uwezo wa kubeba abiria 50 aina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani