Ndege ya Malaysia yaua 295 Ukraine
Ndege ya shirika la Malaysian ikiwa na abiria 295 imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikiwa safarini kutoka Amsterdam na kuwaua wote.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM18 Jul
Waliokufa ndege ya Malaysia wafikia 295
Ndege ya Shirika la Malasyia jana ilitunguliwa mashariki mwa Ukraine na wanajeshi wanaoiunga mkono Russia na kuua watu 295 waliokuwa ndani, ofisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ukraine alisema.
Ndege hiyo ‘Malaysia Airlines’ ilikuwa ikisafiri kutoka Amsterdam kwenda Kuala Lumpur na ilikuwa juu umbali wa futi 33,000 kutoka usawa wa bahari wakati ikitunguliwa.
Ikizidisha hali ya wasiwasi katika mzozo baina ya Mashariki na Magharibi ukihusisha Kiev na Moscow, ofisa huyo alilaumu “magaidi” kuwa...
11 years ago
CloudsFM18 Jul
TAARIFA MPYA JUU YA NDEGE NYINGINE YA MALAYSIA ILIYOANGUKA UKRAINE.
Ndege ya Malaysia iliyokuwa imebeba abiria 295 ndani yake imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikitokea Amsterdam kwenda Kuala Lumpur, kufuatia tuhuma kuwa ilitunguliwa.
Miili kadhaa ya watu imesambaa katika eneo ilipoanguka ndege hiyo karibu na kijiji cha Grabovo, kinachodaiwa kushikiliwa na waasi.Ndege hiyo ya MH17 ilikuwa inakaribia kuingia katika ardhi ya Urusi wakati ilipopoteza mawasiliano.
Pande zote mbili serikali ya Ukraine na waasi wamekanusha kuitungua ndege hiyo katika mji ulio karibu...
11 years ago
Mwananchi18 Jul
Miili zaidi ya 100 yaokotwa baada ya ndege ya Malaysia kuanguka Ukraine
11 years ago
GPL
SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Malaysian airliner downed in Ukraine war zone, 295 dead reported
Emergencies Ministry members work at the site of a Malaysia Airlines Boeing 777 plane crash in the settlement of Grabovo in the Donetsk region, July 17, 2014. REUTERS/Maxim Zmeyev
By Anton Zverev
GRABOVO Ukraine (Reuters) – A Malaysian airliner was brought down over eastern Ukraine on Thursday, killing all 295 people aboard and sharply raising stakes in a conflict between Kiev and pro-Moscow rebels in which Russia and the West back opposing sides.
Ukraine accused “terrorists” – militants...
11 years ago
GPL
PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA
11 years ago
Bongo518 Jul
Picha: Ndege ya Malaysian Airlines MH17 yadunguliwa na kuuwa abiria wote 295
11 years ago
GPL
SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI
10 years ago
Vijimambo30 Jul
MABAKI YA NDEGE YANAYOSEMEKANA NI YA NDEGE YA MALAYSIA

Mamlaka ya usafirishaji nchini Ufaransa imesema inachunguza mabaki ya ndege ya yanayodaiwa kupatikana ndani ya Bahari ya Hindi yanachunguzwa ili kubaini kama ni ya ndege ya Malaysia ya MH370 iliyopotea bila kuwa na taarifa zozote kwa muda mrefusasa.
Taarifa kutoka Marekani zinasema wachunguzihao ambao wameona picha za mabaki hayo wana uhakika mkubwa kwamba ni ya ndege hiyo ya Malaysia ambapo mabaki hayo ni sehemu ya bawa la ndege.
Hata hivyo,...