Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliokufa ndege ya Malaysia wafikia 295

Ndege ya Shirika la Malasyia jana ilitunguliwa mashariki mwa Ukraine na wanajeshi wanaoiunga mkono Russia na kuua watu 295 waliokuwa ndani, ofisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ukraine alisema.

Ndege hiyo ‘Malaysia Airlines’ ilikuwa ikisafiri kutoka Amsterdam kwenda Kuala Lumpur na ilikuwa juu umbali wa futi 33,000 kutoka usawa wa bahari wakati ikitunguliwa.

Ikizidisha hali ya wasiwasi katika mzozo baina ya Mashariki na Magharibi ukihusisha Kiev na Moscow, ofisa huyo alilaumu “magaidi” kuwa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Malaysia yaua 295 Ukraine

Ndege ya shirika la Malaysian ikiwa na abiria 295 imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikiwa safarini kutoka Amsterdam na kuwaua wote.

 

11 years ago

GPL

SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…

 

10 years ago

Habarileo

Waliokufa mafuriko ya Dar wafikia 12

Mmoja wa waathirika wa mafuriko eneo la Jangwani, Dar es Salaam akiandaa chakula cha mchana katika makazi ya muda ndani ya Kituo cha Mabasi yaendayo kasi cha Jangwani, jijini jana. (Picha na Fadhili Akida).MIILI zaidi ya watu waliokufa katika mafuriko ya mvua inayoendelea kunyesha Dar es Salaam, imeongezeka na kufikia 12 akiwemo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kigogo mwenye umri wa miaka 13.

 

9 years ago

Habarileo

Waliokufa hijja Makka wafikia 22

IDADI ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha katika ajali iliyotokea Saudi Arabia imefikia 22.

 

10 years ago

Habarileo

Waliokufa maafa ya mvua wafikia 47

IDADI ya watu waliofariki kutokana na mvua kubwa ya mawe, iliyopewa jina la tonado, sasa imefikia watu 47 baada ya majeruhi mwingine aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama kufariki dunia juzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliokufa sasa wafikia tisa

Majeruhi wa moto uliotokana na mlipuko wa lori la mafuta eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam wameendelea kupoteza maisha baada ya wawili zaidi kufariki dunia na kufanya idadi yao kufikia tisa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waliokufa moto Mbagala wafikia watano

WATU watano wamefariki dunia na wengine 16 kujeruhiwa kutokana na ajali ya moto iliyotokea Mbagala jijini Dar es Salaam juzi. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Kanda Maalum Dar...

 

10 years ago

Mtanzania

Waliokufa kwa mafuriko Dar wafikia 12

KOVAAsifiwe George na Mgeni Shabani (EWTC)Dar es Salaam
IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na athari za mvua na mafuriko Dar es Salaam imeongezeka kutoka wanane na kufikia 12.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema jana kuwa kati ya watu hao mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 35-38, mwili wake ulipoolewa baada ya kuzama kwenye tope katika mto Msimbazi, Magomeni.
Alisema mwili huo wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa...

 

11 years ago

Mwananchi

Waliokufa mafuriko Kyela wafikia saba

>Mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya zimesababisha vifo vya watu saba na kuathiri kaya 3,983 zenye zaidi ya watu 18,976 idadi ambayo imetajwa kuwa ni kubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani