Waliokufa kwa mafuriko Dar wafikia 12
Asifiwe George na Mgeni Shabani (EWTC)Dar es Salaam
IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na athari za mvua na mafuriko Dar es Salaam imeongezeka kutoka wanane na kufikia 12.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema jana kuwa kati ya watu hao mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 35-38, mwili wake ulipoolewa baada ya kuzama kwenye tope katika mto Msimbazi, Magomeni.
Alisema mwili huo wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 May
Waliokufa mafuriko ya Dar wafikia 12
MIILI zaidi ya watu waliokufa katika mafuriko ya mvua inayoendelea kunyesha Dar es Salaam, imeongezeka na kufikia 12 akiwemo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kigogo mwenye umri wa miaka 13.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Waliokufa mafuriko Kyela wafikia saba
10 years ago
GPLWHO: WALIOKUFA KWA EBOLA WAFIKIA 8,795
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Waliokufa mafuriko Dar watajwa
POLISI jijini Dar es Salaam imewataja watu 10 waliokufa kutokana na mafuruko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi...
10 years ago
Habarileo10 Mar
Waliokufa maafa ya mvua wafikia 47
IDADI ya watu waliofariki kutokana na mvua kubwa ya mawe, iliyopewa jina la tonado, sasa imefikia watu 47 baada ya majeruhi mwingine aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama kufariki dunia juzi.
9 years ago
Habarileo15 Oct
Waliokufa hijja Makka wafikia 22
IDADI ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha katika ajali iliyotokea Saudi Arabia imefikia 22.
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliokufa sasa wafikia tisa
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Waliokufa moto Mbagala wafikia watano
WATU watano wamefariki dunia na wengine 16 kujeruhiwa kutokana na ajali ya moto iliyotokea Mbagala jijini Dar es Salaam juzi. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Kanda Maalum Dar...
11 years ago
CloudsFM18 Jul
Waliokufa ndege ya Malaysia wafikia 295
Ndege ya Shirika la Malasyia jana ilitunguliwa mashariki mwa Ukraine na wanajeshi wanaoiunga mkono Russia na kuua watu 295 waliokuwa ndani, ofisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ukraine alisema.
Ndege hiyo ‘Malaysia Airlines’ ilikuwa ikisafiri kutoka Amsterdam kwenda Kuala Lumpur na ilikuwa juu umbali wa futi 33,000 kutoka usawa wa bahari wakati ikitunguliwa.
Ikizidisha hali ya wasiwasi katika mzozo baina ya Mashariki na Magharibi ukihusisha Kiev na Moscow, ofisa huyo alilaumu “magaidi” kuwa...