BARAZA KUU LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA LAIJADILI BURUNDI
![](http://2.bp.blogspot.com/-ygu0VBD-mN8/VkVfvh4PF9I/AAAAAAAIFmI/bQoeB3Ppm1o/s72-c/653024.jpg)
Matthew Rycroft, Mwakilishi wa Kudumu wa Uingereza katika Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, kwa mwezi Novemba, akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani, mara baada ya Baraza Kuu la Usalama kumaliza kikao chake kilichojadili hali ya Burundi, kikao ambacho pia kilipitisha azimio ambalo pamoja na mambo mengine linamuunga mkono Rais wa Uganda Yoweri Museven ambaye aliteuliwa na Viongozi wenzie wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa msimamizi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-RO5I4nwjHNU/VECBvGeVy8I/AAAAAAAGrGo/QLWIbAyIvwo/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
UHISPANIA NA UTURUKI WACHUANA VIKALI NAFASI YA UJUMBE USIO WA KUDUMU WA BARAZA KUU LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JKBzg1EOZzk/VfegNTTUn9I/AAAAAAAH44o/k2Lh3e2ub3s/s72-c/642309%2B-%2BCopy.jpg)
MKUTANO NO. 69 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA WAMALIZIKA KWA KISHINDO
![](http://4.bp.blogspot.com/-JKBzg1EOZzk/VfegNTTUn9I/AAAAAAAH44o/k2Lh3e2ub3s/s640/642309%2B-%2BCopy.jpg)
Rais wa Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutesa akigonga nyundo maalum kuashiria kukamilika kwa Mikutano ya Baraza hilo ambalo ameliongoza kwa mwaka mzima. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon akiwa mwenye furaha wakati wa kuhitimishwa Baraza la 69 ambapo alimpongeza Bw. Sam Kutesa kwa kuliongoza Baraza kwa uhodari uliopelekea kupitishwa kwa maazimio mbalimbali.Na Mwandishi Maaalum New YorkMkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Wop39smKmR8/Va_A6405n_I/AAAAAAAHrIM/6ShASCOBoj4/s72-c/m1.png)
TAARIFA KWA UMMA (AZIMIO NA. 69/246 LA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Wop39smKmR8/Va_A6405n_I/AAAAAAAHrIM/6ShASCOBoj4/s1600/m1.png)
Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (United Nations) Mhe. Ban Ki-moon tarehe 16 Machi, 2015 alimteua Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kuwa Mwenyekiti wa jopo huru la wataalamu wa kutafuta ukweli zaidi juu ya kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Hayati Dag Hammarskjöld, kifo hicho kilichotokea kwenye ajali ya kusikitisha ya ndege mnamo tarehe 17-18 Septemba, 1961 maeneo ya Ndola,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ZFnXaxSh0VY/VEoOjDUgqyI/AAAAAAAGtFs/zetyOKY6MQI/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
Balozi Manongi aiongoza Kamati ya Sita ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZFnXaxSh0VY/VEoOjDUgqyI/AAAAAAAGtFs/zetyOKY6MQI/s1600/unnamed%2B(6).jpg)
11 years ago
MichuziTANZANIA YAONGOZA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMATI YA SIASA NA USALAMA YA UMOJA WA ULAYA (EU) MJINI BRUSSELS, UBELGIJI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-OAw5aRoV7Ug/VAW3rQb1RhI/AAAAAAAGbYE/SBL-MX_vbsQ/s72-c/k1.jpg)
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI
![](http://1.bp.blogspot.com/-OAw5aRoV7Ug/VAW3rQb1RhI/AAAAAAAGbYE/SBL-MX_vbsQ/s1600/k1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-HPgp8vM0-gE/VAW3rEnRHOI/AAAAAAAGbYA/xdP9i7U8zsE/s1600/k2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NfueCDgQzXs/VTCofo6r4zI/AAAAAAAHRnQ/si8XFRFb-hQ/s72-c/unnamed%2B(63).jpg)
JAJI MKUU AKIWA KATIKA PICHA NA AFISA WA USALAMA WA UMOJA WA MATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-NfueCDgQzXs/VTCofo6r4zI/AAAAAAAHRnQ/si8XFRFb-hQ/s1600/unnamed%2B(63).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rRo3GhvYRoc/Xm8CYKPfeZI/AAAAAAALj2Y/dZtguDYcCagW76FdAFH-4UnSJfZlARTWgCLcBGAsYHQ/s72-c/4bv65f3661a2671lsxa_800C450.jpg)
Umoja wa Mataifa wapongeza kuundwa baraza la mawaziri Sudan Kusini
![](https://1.bp.blogspot.com/-rRo3GhvYRoc/Xm8CYKPfeZI/AAAAAAALj2Y/dZtguDYcCagW76FdAFH-4UnSJfZlARTWgCLcBGAsYHQ/s640/4bv65f3661a2671lsxa_800C450.jpg)
Kwenye taarifa yake msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Stephanie Dujaric, amesema Guterres amepongeza moyo wa maelewano na ushirikiano uliooneshwa na pande husika, ambao umeleta maendeleo haya muhimu.
Guterres amesisitiza utayari wa Umoja wa Mataifa kusaidia pande za Sudan Kusini kutekeleza makubaliano ya Amani ya mwaka 2018, kwa...
10 years ago
BBCSwahili28 Jul
Baraza la usalama la UN kuijadili Burundi