UMOJA WA AFRIKA (AU) WAWATUNUKU DKT. SALIM NA BALOZI MBITA TUZO ZA JUU ZA MWANA WA AFRIKA
Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim akipokea Tuzo ya Juu ya Umoja wa Afrika ya Mwana wa Afrika kwa Mwaka 2014 kutoka kwa Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika, Mhe. Balozi Smail Chergui. Tuzo hiyo ilitolewa mjini Arusha pembezoni mwa Warsha ya Tano ya Ngazi ya Juu kuhusu Amani na Usalama Bararani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika inayoendelea mjini humo.
Tuzo hiyo pia imetolewa kwa Balozi Mstaafu na Mpigania Uhuru Mahiri Barani Afrika, Balozi Hashim Mbita. Tuzo hizo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziAU YAWATUNUKU DKT. SALIM NA BALOZI MBITA TUZO ZA JUU ZA MWANA WA AFRIKA
10 years ago
VijimamboBALOZI WA UMOJA WA AFRIKA AMINA SALUM ALI ATOA RAMBI RAMBI KWA KIFO CHA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA
Na mwandishi wako, Washington, DC
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika, Mhe. Amina Salum Ali leo ametoa salamu za rambi rambi kwa Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita aliyefariki siku ya siku ya Jumapili April 26, 2015 asubuhi na kuzikwa siku ya Jumanne April 28, 2015 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Balozi Amina Salum Ali alisema amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la...
11 years ago
Michuzi.jpg)
balozi mpya wa ujerumani nchini amtembelea Dkt Salim Ahmed Salim leo
.jpg)
.jpg)
5 years ago
Michuzi
DKT. CHAULA AKAGUA UJENZI WA JENGO LA UMOJA WA POSTA WA AFRIKA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (wa pili kulia) akisisitiza jambo...
10 years ago
Michuzi
Huawei na Umoja wa Afrika zasaini makubaliano kuboresha miundombinu ya teknohama Afrika

10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA UMOJA WA AFRIKA


11 years ago
Dewji Blog26 May
Tutashiriki katika ujenzi wa Afrika yenye umoja, mshikamano na miundombinu stahili — Benki ya Maendeleo Afrika
Katibu Mkuu Dkt.Servacius Likwelile akiwa na Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kanda ya Afrika Mashariki Nd. Gabriel Negatu katika Mkutano uliofanyika katika ukumb wa Ecobank Jijini Kigali Rwanda.
Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akijadiliana jambo na mmoja wa washiriki wa Mkutano wa 49 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unafanyika Kigali Rwanda. Pembeni ni mwa Waziri ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile na msaidizi wa Waziri Bw.Thomas Mabeba.
Waziri...
10 years ago
Michuzi.jpg)
DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UMOJA WA AFRIKA NCHINI MAREKANI MHE AMINA SALUM ALI
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Umoja wa Afrika...
10 years ago
Michuzi
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

