Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


balozi mpya wa ujerumani nchini amtembelea Dkt Salim Ahmed Salim leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation Mhe Dkt. Salim Ahmed Salim akimkaribisha ofisini kwake balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ambaye alifika kujitambulisha kwake na kumjulia hali leo Jumatano 23 Julai 2014


Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation Mhe Dkt. Salim Ahmed Salim akiongea na  balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ambaye alifika kujitambulisha kwake na kumjulia hali leo Jumatano 23...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Dkt. Salim Ahmed Salim akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri

Waziri Mkuu Mstaafu,Dkt. Salim Ahmed Salim akiwa katika mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri,Balozi Nabil Fahmy wakati alipomtembelea nyumbani kwake leo Jumamosi 22 Februari 2014. Waziri Mkuu Mstaafu,Dkt. Salim Ahmed Salim na mgeni wake Wakiangalia picha za ukumbusho. Picha ya pili juu kushoto Dr Salim akiwakilisha credentials zake kwa Rais wa Zamani wa Misri, Gamal Abdul Nasser akiwa kama balozi wa Kwanza wa Tanzania nchini humo.

 

11 years ago

Michuzi

AU YAWATUNUKU DKT. SALIM NA BALOZI MBITA TUZO ZA JUU ZA MWANA WA AFRIKA


Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim akipokea Tuzo ya Juu ya Umoja wa Afrika ya Mwana wa Afrika kwa Mwaka 2014 kutoka kwa Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika, Mhe. Balozi Smail Chergui. Tuzo hiyo  ilitolewa mjini Arusha pembezoni mwa Warsha ya Tano ya Ngazi ya Juu kuhusu Amani na Usalama Bararani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika inayoendelea mjini humo. Tuzo hiyo pia imetolewa kwa Balozi Mstaafu na Mpigania Uhuru Mahiri Barani Afrika, Balozi Hashim Mbita. Tuzo hizo...

 

10 years ago

TheCitizen

SALIM SAID SALIM : Poll campaigns should address rights

For many years after the 1964 armed uprising that led to the overthrow of sultan Jemshid bin Abdulla El Busaidy of Omani dynasty and his coalition government of the Zanzibar Nationalist Party (ZNP) and the Zanzibar and Pemba Peoples Party (ZPPP) Zanzibar was known as notorious for human rights violations.

 

10 years ago

TheCitizen

SALIM SAID SALIM : Journalism facing challenges in election

For journalists facing challenges of objectivity, impartiality and balance reporting are a daily encounter, but there is no test of professionalism greater than that posed in the heat and pressure of a bitterly-fought political election.

 

11 years ago

Tanzania Daima

AHMED SALIM ‘GABO’: Chipukizi mwenye nyodo ya kuchagua filamu za kucheza

KWENYE jambo lolote unapoingia kama ni mgeni, sio jambo geni mtu unajikuta ukijishusha kwa kuwaofia waliokutangulia katika jambo husika. Mara nyingi watu hufanya hivyo kwa lengo la kujifunza huku wengine...

 

11 years ago

Michuzi

UMOJA WA AFRIKA (AU) WAWATUNUKU DKT. SALIM NA BALOZI MBITA TUZO ZA JUU ZA MWANA WA AFRIKA


Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim akipokea Tuzo ya Juu ya Umoja wa Afrika ya Mwana wa Afrika kwa Mwaka 2014 kutoka kwa Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika, Mhe. Balozi Smail Chergui. Tuzo hiyo  ilitolewa mjini Arusha pembezoni mwa Warsha ya Tano ya Ngazi ya Juu kuhusu Amani na Usalama Bararani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika inayoendelea mjini humo. 

Tuzo hiyo pia imetolewa kwa Balozi Mstaafu na Mpigania Uhuru Mahiri Barani Afrika, Balozi Hashim Mbita. Tuzo hizo...

 

10 years ago

TheCitizen

SALIM SAID SALIM:Let our leaders be honest with us

Nearly a decade back I read an article in the Gulf newspaper in which one columnist said that there are some occupations whose members are very good in lying, even in mosques and churches.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA UJERUMANI NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE D’SALAAM

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke alipokuwa akimfafanulia jambo wakati Balozi huyo na Naibu wake walipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ujerumani na Tanzania.  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia jambo Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke wakati Balozi huyo na Naibu wake, John...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akutana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada,leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo kwa Rais baada ya kuteuliwa rasmi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha kwa Rais baada ya kuteuliwa. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani