Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta na Bunge la Maridhiano

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kulia) akipongezwa na Mjumbe Edward Lowassa baada ya kujieleza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Bunge hilo. Uchaguzi huo ulifanyika jana na Sitta alishinda. (Picha na Mroki Mroki).MWENYEKITI mteule wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta ameonesha wazi kuwa ataongoza Bunge hilo kwa maridhiano, baada ya kueleza kundi lililokuwa nyuma yake wakati wa kampeni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

ACT wataka maridhiano Bunge la Katiba

CHAMA cha Aliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania), kimeyataka makundi yanayosigana ndani ya Bunge Maalum la Katiba watafute maridhiano yatakayowezesha kupatikana kwa katiba iliyo bora. ACT-Tanzania imeyataka makundi hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SCOC wataka maridhiano Bunge la Katiba

KAMATI Maalumu ya Wataalamu wa Katiba (SCOC) imetaka mamlaka ya juu ya nchi kuutafutia suluhu mgogoro uliosababisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge Maalumu la Katiba....

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba ahimiza maridhiano Bunge la Katiba

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema wajumbe wa kundi la walio wengi linaloundwa na wabunge wa CCM na baadhi ya 201 katika Bunge la Katiba hawawezi kupitisha Katiba kwa kuwa hakuna maridhiano

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utaifa utawale vikao vya maridhiano Bunge la Katiba

NI takribani miezi minne sasa tangu makundi mbalimbali nchini kuwaomba wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea katika vikao vya Bunge hilo Agosti 5. Katika makundi hayo, wamo...

 

11 years ago

CloudsFM

WARIOBA: BUNGE LITAPOTEZA FEDHA ZA WANANCHI ENDAPO HAKUNA MARIDHIANO

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema kuendelea vikao vya Bunge Maalumu la Katiba bila kuwapo maridhiano baina ya pande zinazovutana na upande mmoja ukibaki nje ya Bunge, ni sawa na kutumia vibaya fedha za Watanzania.Amesema kauli kwamba akidi ya wajumbe wa Bunge hilo imetimia na vikao vinaweza kuendelea haiwezi kuzaa Katiba itakayokubaliwa na wananchi wote na ni tofauti na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba inavyoeleza katika sehemu ya kufanya uamuzi.
...

 

11 years ago

Mwananchi

Mivutano yaendelea kulitafuna #Bunge la #Katiba, wajumbe wataka maridhiano [VIDEO]

Mivutano imeendelea kuligawa Bunge Maalum la Katiba leo, huku baadhi ya wajumbe wakilalamika kuwa mapendekezo waliyoyatoa kuboresha Kanuni zitakazoliendesha baraza hilo hayakuzingatiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kanuzi zazidi kutatiza wajumbe Bunge la Katiba, Kificho aipa Kamati jukumu la ‘kuleta maridhiano’ [VIDEO]

Mheshimiwa Kificho amejikuta katika wakati mgumu, akijaribu kuendesha Bunge lilotawaliwa na makundi  yenye mitazamo tofauti.

 

11 years ago

Habarileo

Busara za Sitta zaokoa Bunge

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alilazimika kutumia busara ili kuepusha Bunge hilo kuvunjika kutokana na kujitokeza kwa dosari mbalimbali wakati kamati zikiwasilisha maoni ya mijadala ya sura ya kwanza na ya sita ya rasimu ya Katiba mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu: Kikwete, Sitta wahairishe Bunge

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Anglikana Tanzania (KKAT), Ainea Kusenha, amesema kuwa kinachofanyika Dodoma kuhusu Katiba Mpya, ni kupoteza fedha za taifa lakini hakuna katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani