Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Busara za Sitta zaokoa Bunge

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alilazimika kutumia busara ili kuepusha Bunge hilo kuvunjika kutokana na kujitokeza kwa dosari mbalimbali wakati kamati zikiwasilisha maoni ya mijadala ya sura ya kwanza na ya sita ya rasimu ya Katiba mpya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BUSARA ZITUEPUSHE MGONGANO BUNGE LA KATIBA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge. KAMA ilivyo kawaida yangu, naomba nianze kwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa uwezo wake wa ajabu ambao umetufanya mimi na wewe kukutana tena hapa katika ukurasa ambao ninaamini unapata mambo mengi sana muhimu yahusuyo nchi yetu. Nimesema na sitasita kurudia kila mara ninapopata nafasi, kukusihi sana kuhusu jinsi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu,...

 

11 years ago

Mwananchi

Isipotumika busara, Bunge EAC litasambaratika

Kwa muda mrefu sasa, Bunge la Afrika Mashariki limekuwa katika mizozo isiyoisha kiasi cha wananchi wengi katika nchi wanachama kuhofia kwamba Bunge hilo linaweza kusambaratika

 

11 years ago

Mwananchi

Ole Telele: Busara zitangulie uamuzi Bunge la Katiba

Mbunge wa Bunge Maalumu la Katiba, Saning’o Ole Telele amemshauri Mwenyekiti wa Bunge la Katiba na wajumbe kutumia busara zaidi katika kufikia maamuzi akibainisha kuwa vurugu zilizotokea mapema wiki hii zilisababishwa na tatizo la ukosefu wa busara.

 

11 years ago

Habarileo

Sitta na Bunge la Maridhiano

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kulia) akipongezwa na Mjumbe Edward Lowassa baada ya kujieleza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Bunge hilo. Uchaguzi huo ulifanyika jana na Sitta alishinda. (Picha na Mroki Mroki).MWENYEKITI mteule wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta ameonesha wazi kuwa ataongoza Bunge hilo kwa maridhiano, baada ya kueleza kundi lililokuwa nyuma yake wakati wa kampeni.

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: HALI YA HEWA KATIKA BUNGE LA KATIKA YATUAMA, MJADALA UNAENDELEA KWA BUSARA NA MAELEWANO

Ile sintofahamu iliyoibuka asubuhi wakati wa mjadala wa Rasimu ya Kanuni za Bunge Maalum mjini Dodoma imekwisha na sasa Wajumbe wanaendelea kujadili kifungu kimoja baada ya kingine kwa amani, maelewano na busara. Mwenyekiti wa muda Mhe Pandu Ameir Kificho alianza kuwatangazia wajumbe kwamba Wajumbe Mhe Christopher Ole Sendeka na Mhe Abubakar Khamis Bakari wamemaliza tofauti zao na wote wawili wamerudi Bungeni wakiwa hawana kinyongo na kwamba  mshikemshike wa asubuhi ulikuwa ni moja ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kulivunja Bunge sasa ni hasara -Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel SittaMWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amesema Katiba ya sasa yenye miaka 50 imewezesha kutungwa kwa sheria na kanuni zinazoleta maumivu kwa wananchi na kusema lengo la kutungwa kwa Katiba mpya ni kuziba mianya hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta apiga jaramba kuongoza Bunge

Siku moja baada ya kuteuliwa na CCM kuwania uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema ameanza kupitia sheria na kanuni zitakazomwezesha kuliongoza huku akiahidi kutenda haki kwa wajumbe wote iwapo atachaguliwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta ataweka historia Bunge Maalumu

UJIO wa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, katika nafasi ya kuliongoza Bunge hilo la historia, inaweza kuweka historia ya kutengeneza katiba ile tunayohitaji na itamweka Rais Jakaya...

 

11 years ago

Habarileo

Sitta: Kuna mpango kuvuruga Bunge

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samwel Sitta amefichua siri za kuwepo kwa mipango ya siri, inayodaiwa kufanywa na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kuvuruga mchakato wa kuundwa kwa Katiba mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani