Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta apiga jaramba kuongoza Bunge

Siku moja baada ya kuteuliwa na CCM kuwania uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema ameanza kupitia sheria na kanuni zitakazomwezesha kuliongoza huku akiahidi kutenda haki kwa wajumbe wote iwapo atachaguliwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sitta yu msalabani, kuongoza Bunge Maalumu la Katiba?

>Mkanganyiko pekee na uliobakia kwa Watanzania  wakiwamo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ni viporo kwenye kanuni za 37 na 38, vinginevyo hali ya hewa ndani ya Bunge hilo imetulia.

 

9 years ago

Mwananchi

Sitta: Nina sifa zote kuongoza Bunge lijalo

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samuel Sitta amesema kutokana na hali ya joto la kisiasa ilivyo,  ambayo ilidhihirika zaidi wakati wa uchaguzi, wabunge walioshinda wengi ni vijana na ni wazi spika anayehitajika ni mwenye uzoefu.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kuongoza Bunge lenye vijana changamoto’

Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema hakuna kazi ngumu kama kuongoza Bunge hasa lenye wabunge vijana kama la kipindi hiki.

 

11 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge Maalum apiga kura hospitalini

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi 201, Thomas Mgoli, ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, amelazimika kupiga kura hospitalini, kushiriki kufanya uamuzi wa ibara alizoshiriki kujadili katika Kamati yake.

 

10 years ago

GPL

MAKINDA KUONGOZA UJUMBE WA BUNGE LA SADC KUMZIKA RAIS SATA LUSAKA, ZAMBIA

Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda. Na Owen Mwandumbya, Lusaka Zambia Rais wa Bunge la SADC ambaye pia ndiye Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda kesho tarehe 10 Novemba, 2014 ataongoza ujumbe wa Bunge la SADC kushiriki Misa Maalum ya kuombea mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Chilufya Sata katika misa maalum itakayofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

Makinda kuongoza ujumbe wa Bunge la SADC kumzika Rais Sata Lusaka , Zambia

Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda Na Owen Mwandumbya, Lusaka Zambia
Rais wa Bunge la SADC ambaye pia ndiye Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda kesho tarehe 10 Novemba, 2014 ataongoza ujumbe wa Bunge la SADC kushiriki Misa Maalum ya kuombea mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Chilufya Sata katika misa maalum itakayofanyika katika viwanja vya Makumbusho Mjini Lusaka, Zambia. Katika ujumbe...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ALIVYOWASILI DODOMA KUONGOZA VIKAO VYA CCM NA KULIHUTUBIA BUNGE

 Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye uwanja cha ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa… ...

 

11 years ago

Mtanzania

CCM, Ukawa wapiga jaramba

ukawa hawaNa Pendo Mangala, Dodoma

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, juzi alitumia muda  mwingi kutoa elimu kwa wajumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho wanaokutana   Dodoma, juu ya umuhimu wa Katiba inayopendekezwa.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kamati hiyo kiliiambia MTANZANIA  kwamba katika kikao hicho, Rais Kikwete aliwaeleza wajumbe kwa kina jinsi Sheria ya Madiliko ya Katiba inavyoshindwa kueleza kwa kina kuhusu upigaji kura ya maoni. Alisema hatua ya kukosekana...

 

11 years ago

Mwananchi

Kanuni za kuongoza #Bunge la #Katiba zawasilishwa, porojo za kupoteza muda sasa marufuku [VIDEO]

BUNGE maalum la Katiba limekutana leo mjini Dodoma kwa ajili ya kujadili kanuni mbalimbali zitakazotumika kuliendesha Bunge hilo katika vikao vyake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani