CCM, Ukawa wapiga jaramba
Na Pendo Mangala, Dodoma
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, juzi alitumia muda mwingi kutoa elimu kwa wajumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho wanaokutana Dodoma, juu ya umuhimu wa Katiba inayopendekezwa.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kamati hiyo kiliiambia MTANZANIA kwamba katika kikao hicho, Rais Kikwete aliwaeleza wajumbe kwa kina jinsi Sheria ya Madiliko ya Katiba inavyoshindwa kueleza kwa kina kuhusu upigaji kura ya maoni. Alisema hatua ya kukosekana...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Wanawake ‘wapiga jaramba’ urais 2015
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ukNw3QKRXiY/VfvtSzDeWdI/AAAAAAABVU8/F-LcUeczpf0/s72-c/12038431_785458398231803_3528898794948630829_n.png)
VIONGOZI WOTE WA CCM WA KATA YA MKOMAZI NA WAPIGA KURA 1,400 WA CCM WAHAMIA CHADEMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-ukNw3QKRXiY/VfvtSzDeWdI/AAAAAAABVU8/F-LcUeczpf0/s640/12038431_785458398231803_3528898794948630829_n.png)
10 years ago
StarTV26 Feb
UKAWA wataka zoezi uandikishwaji wapiga kura kusitishwa.
Na Seda Elias,
Dar es salaam
Wakati tume ya uchaguzi ikiwa imeanza zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kieletroniki wa BVR, Umoja wa katiba ya wananchi, UKAWA, umemtaka Rais Jakaya Kikwete kutoa tamko la kusitisha zoezi hilo ili kusawazisha changamoto zinazojitokeza, ili na kuwezesha watanzania wengi kuandikishwa.
Ikiwa ni siku ya pili tu ya zoezi hilo, tayari kunatajwa baadhi ya changamoto ambazo ni pamoja na mashine za BVR kushindwa kuhimili hali ya joto, upungufu wa...
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Sitta apiga jaramba kuongoza Bunge
9 years ago
Mzalendo Zanzibar12 Oct
WATANZANIA: Tunaiomba UKAWA Kususia Uchaguzi Iwapo NEC na ZEC itashindwa Kuweka Wazi Daftari la Wapiga Kura.
Nategemea habari hizi zitawafika Wahusika wakuu wa Vyama vya Vinavounda UKAWA.. Kama sisi no Wazalendo ambao Tuna kiu ya Mabadiliko ya Uongozi katika Serikali. Mara hii tumejitokeza Vijana wengi kutafuta Vichinjio ya Kuiondoa Serikali ya CCM […]
The post WATANZANIA: Tunaiomba UKAWA Kususia Uchaguzi Iwapo NEC na ZEC itashindwa Kuweka Wazi Daftari la Wapiga Kura. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mtanzania13 Nov
Wapiga kura wanaoelea waitisha CCM
Elias Msuya na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
KATIBU wa Itikadi na Uendezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema licha ya matokeo ya utafiti wa taasisi ya Twaweza kuonesha kuwa chama hicho kinaongoza dhidi ya wapinzani, bado kuna wasiwasi wa kura za wananchi wasiofungamana na upande wowote (swing voters).
Akizungumza katika mjadala wa matokeo ya utafiti wa Twaweza wa Tanzania kuelekea 2015 uliozinduliwa jana jijini Dar es Salaam, Nape alisema kuna haja ya kuwaangalia wapiga kura...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Oct
Mpaka hivi sasa tume ya Taifa NEC imeshindwa kuweka Daftari la Wapiga kura hadharani, Jee UKAWA wamejipanga vipi?
Huku kukiwa na wasiwasi mkubwa kwa Vyama vya Upinzani kuhusu Daftari la wapiga kura kutokuwekwa hadharani ili vyama vya siasa kupata nafasi ya kulipitia, Vyama vilivyo ungana UKAWA wamekuwa na shaka kubwa kuwa Tume ya Taifa […]
The post Mpaka hivi sasa tume ya Taifa NEC imeshindwa kuweka Daftari la Wapiga kura hadharani, Jee UKAWA wamejipanga vipi? appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi03 Mar
CCM wapiga magoti kuomba kura Kalenga
11 years ago
Mwananchi03 Apr