Askofu: Kikwete, Sitta wahairishe Bunge
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Anglikana Tanzania (KKAT), Ainea Kusenha, amesema kuwa kinachofanyika Dodoma kuhusu Katiba Mpya, ni kupoteza fedha za taifa lakini hakuna katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania17 Sep
Askofu: Sitta mchochezi
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MWENYEKITI mstaafu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dk. Peter Kitula, amesema kauli za kejeli zinazotolewa na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta zimejaa uchochezi.
Sitta amekuwa akishutumiwa na watu mbalimbali kutokana na kauli zake anazozitoa pindi anapoendesha Bunge hilo.
Hivi karibuni, Sitta alisema wajumbe wanaounda...
11 years ago
Habarileo29 Mar
Askofu Mtetemela atuliza Bunge
WAKATI dua inayosomwa kabla na baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba inaonekana kutowaingia ipasavyo wajumbe na kujikuta wakitumia muda mwingi kwa malumbano na matumizi ya lugha mbaya, Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Donard Mtetemela juzi jioni alifanikiwa kulituliza Bunge hilo kwa mawaidha aliyoyatoa.
11 years ago
Habarileo13 Mar
Sitta na Bunge la Maridhiano
MWENYEKITI mteule wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta ameonesha wazi kuwa ataongoza Bunge hilo kwa maridhiano, baada ya kueleza kundi lililokuwa nyuma yake wakati wa kampeni.
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Askofu asikitishwa kuendelea bunge la katiba
ASKOFU wa kanisa katoliki jimbo la Lindi, Bruno Ngonyani amesikitika kuhusu kuendelea kwa vikao vya Bunge maalumu la katiba mjini Dodoma. Pia ameshangazwa na uamuzi wa wajumbe wa bunge hilo...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Askofu awafunda wajumbe Bunge la Katiba
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametakiwa kujikita zaidi katika mijadala yenye manufaa kwa jamii badala ya kutetea na kulinda masilahi ya vyama vyao. Kauli hiyo ilitolewa jana na Askofu...
11 years ago
Habarileo13 Apr
Busara za Sitta zaokoa Bunge
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alilazimika kutumia busara ili kuepusha Bunge hilo kuvunjika kutokana na kujitokeza kwa dosari mbalimbali wakati kamati zikiwasilisha maoni ya mijadala ya sura ya kwanza na ya sita ya rasimu ya Katiba mpya.
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Askofu awaponda viongozi wa dini bunge maalum
ASKOFU wa Kanisa la Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, amesema asilimia 85 ya viongozi wa dini waliyoko ndani ya Bunge Maalum la Katiba wameshindwa kupigania maoni ya wananchi, badala yake...
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Askofu KKAM alipa ushauri Bunge la Katiba