Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu: Sitta mchochezi

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM NA MAREGESI PAUL, DODOMA

MWENYEKITI mstaafu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dk. Peter Kitula, amesema kauli za kejeli zinazotolewa na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta zimejaa uchochezi.

Sitta amekuwa akishutumiwa na watu mbalimbali kutokana na kauli zake anazozitoa pindi anapoendesha Bunge hilo.

Hivi karibuni, Sitta alisema wajumbe wanaounda...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Askofu: Kikwete, Sitta wahairishe Bunge

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Anglikana Tanzania (KKAT), Ainea Kusenha, amesema kuwa kinachofanyika Dodoma kuhusu Katiba Mpya, ni kupoteza fedha za taifa lakini hakuna katiba.

 

5 years ago

Michuzi

ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda.

 

11 years ago

Michuzi

Hafla ya kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga yafana sana

Mamia ya wakotiliki wamejitokeza kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga ambaye anahamia Mpanda kwa ajili ya kuendelea na kazi Dini.Sherehe hiyo iliyotanguliwa na Ibada ilifanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mkoani Dodoma.
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ambayo alikuwepo Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pina,alikuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini,Mwadhama Polcarp Kardinal Pengo. Pia sherere hiyo ilihudhuriwa na Askofu...

 

11 years ago

GPL

HAFLA YA KUMUAGA ASKOFU WA JIMBO LA KATOLIKI DODOMA,MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA YAFANA SANA ‏

Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo (kulia) akipeana mkono na Askofu Gervas John Nyaisonga. Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akibusu Pete ya Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo.…

 

10 years ago

Michuzi

Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo

 Maaskofu kutoka nchi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Kanisa la Habari Njema kwa Wote, lililopo mpakani mwa Dar es Salaam na Bagamoyo, ambako kulifanyika sherehe za kumtawaza na kumtunuku shahada mbili za udaktari Askofu Dk. Charles Gadi Jumapili

Moja ya kikundi cha kwaya ambazo zilitumbuiza katika hafla hiyo.


 Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili

 Askofu Gadi akivikwa kofia kuashiria kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani