Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbegu za pamba zawaliza madiwani

Wakulima wa pamba katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga wanashindwa kununua mbegu kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo kwa madai kwamba bei imepanda kutoka Sh300 kwa kilo hadi Sh500.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mbegu feki za mahindi zawaliza wakulima Hai

WAKATI msimu wa mwaka huu wa kilimo mkoani Kilimanjaro ukionekana kuwa na neema ya mvua za kutosha, Wilaya ya Hai imekuwa tofauti kutokana na baadhi ya wakulima kuuziwa mbegu feki...

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi ya pamba yatakiwa kupeleka mbegu mbadala

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, wameomba Bodi ya Pamba kuweka utaratibu wa kusambaza mbegu mbadala ya zao la pamba, baada ya zilizosambazwa na Kampuni ya Quton kubainika hazioti katika maeneo ya wilayani hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanza yasambaza mbegu za pamba kila wilaya

Pamba ikiwa shambaniUMLA ya tani 1,295.65 za mbegu za pamba zimesambazwa kwa wakulima wa pamba kwa wilaya zote za mkoa wa Mwanza ikiwa ni sawa na asilimia 65.27 ya mgawo kutoka Bodi ya Pamba (TCB).

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima wa pamba Mara wagomea mbegu za manyoya

WAKULIMA wa pamba wa Mara wameiomba Bodi ya Pamba kuwasambazia mbegu zisizo na manyoya kwa sababu ndizo zinazoota kwa urahisi na kwa wakati muafaka katika maeneo yao.

 

5 years ago

Michuzi

TARI UKIRIGURU YAGUNDUA AINA 10 ZA MBEGU BORA ZA PAMBA


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyevaa tai) akipata maelezo ya aina za mbegu bora ya pamba zilizogunduliwa na Kituo cha TARI Ukiriguru mkoa wa Mwanza leo.
Katibu Mkuu Wizara Kilimo Bw.Gerald Kusaya (katikati) akiongea na watumishi wa Chuo cha Mafunzo ya Kilimo MATI Ukiriguru alipofanya ziara ya kukagua utendaji kazi wa chuo hicho leo wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza.


Watumishi wa chuo cha Kilimo MATI Ukiriguru wilaya ya Misungwi wakimsikiliza Katibu Mkuu ( hayupo pichani)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Nzega wataka bei ya pamba iboroshwe

MADIWANI wa halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora wameiomba serikali kuangalia upya bei ya zao la pamba. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao cha baraza la...

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani wapinga kilimo cha pamba mkataba

>Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe, mkoani hapa wamepinga kitendo cha Serikali kuhamasisha kilimo cha mkataba wa pamba, huku wakitaka elimu itolewe kwa wananchi kulima alizeti ili kuondokana na maisha duni

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA KILIMO YAWAPONGEZA WATAFITI WA MBEGU ZA MICHIKICHI KWA KUONGEZA UZALISHAJI WA MBEGU BORA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyeshika miche ) akikagua kitalu cha miche ya michikichi inayozalishwa na Gereza Kwitanga kwa ushirikiano na TARI Kihinga.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa ameshika mche bora wa mchikichi uliozalishwa na Kituo cha utafiti TARI Kihinga mkoa wa Kigoma leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akikagua kitalu cha miche bora ya zao la michikichi katika Gereza Kwitanga mkoa wa Kigoma leo alipotembelea kuona utekelezaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA PAMBA AMBACHO PAMBA YAKE ILITEKETEA KWA MOTO MKOANI SHINYANGA CHAPATA BIMA YAKE TOKA UAP

Baadhi ya maafisa wa Kampuni ya Bima ya UAP wakiwa na Meneja wa Kiwanda cha JIELONG Holdings Tanzania LTD Kiki Huwa Xu (kushoto) wakitenbelea kiwanda hicho kujionea shughuli za utendaji ikiwa ni pamoja na kuzungumza na uongozi wa kiwanda hicho mara baada ya kukipatia bima ya shilingi milioni themanini (80,000,000/=)  kufuatia kuunguliwa na pamba yake katika ghala la kuhifadhia lililopo kiwandani hapo.Mwanzoni mwa mwaka huu 2015 pamba iliyokuwa imehifadhiwa kwenye moja ya maghala katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani