Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanza yasambaza mbegu za pamba kila wilaya

Pamba ikiwa shambaniUMLA ya tani 1,295.65 za mbegu za pamba zimesambazwa kwa wakulima wa pamba kwa wilaya zote za mkoa wa Mwanza ikiwa ni sawa na asilimia 65.27 ya mgawo kutoka Bodi ya Pamba (TCB).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbegu za pamba zawaliza madiwani

Wakulima wa pamba katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga wanashindwa kununua mbegu kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo kwa madai kwamba bei imepanda kutoka Sh300 kwa kilo hadi Sh500.

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima wa pamba Mara wagomea mbegu za manyoya

WAKULIMA wa pamba wa Mara wameiomba Bodi ya Pamba kuwasambazia mbegu zisizo na manyoya kwa sababu ndizo zinazoota kwa urahisi na kwa wakati muafaka katika maeneo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi ya pamba yatakiwa kupeleka mbegu mbadala

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, wameomba Bodi ya Pamba kuweka utaratibu wa kusambaza mbegu mbadala ya zao la pamba, baada ya zilizosambazwa na Kampuni ya Quton kubainika hazioti katika maeneo ya wilayani hapa.

 

5 years ago

Michuzi

TARI UKIRIGURU YAGUNDUA AINA 10 ZA MBEGU BORA ZA PAMBA


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyevaa tai) akipata maelezo ya aina za mbegu bora ya pamba zilizogunduliwa na Kituo cha TARI Ukiriguru mkoa wa Mwanza leo.
Katibu Mkuu Wizara Kilimo Bw.Gerald Kusaya (katikati) akiongea na watumishi wa Chuo cha Mafunzo ya Kilimo MATI Ukiriguru alipofanya ziara ya kukagua utendaji kazi wa chuo hicho leo wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza.


Watumishi wa chuo cha Kilimo MATI Ukiriguru wilaya ya Misungwi wakimsikiliza Katibu Mkuu ( hayupo pichani)...

 

11 years ago

Dewji Blog

RC Mwanza azindua msimu wa ununuzi wa pamba 2014/15

pic mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo.

Na Mwandishi Wetu

MKUU wa mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo, hivi karibuni amezindua rasmi msimu wa ununuzi wa pamba wa 2014/15 katika kijiji cha Isole Wilayani Sengerema.

Wadau wa msingi wa zao la pamba ambao ni pamoja na wanunuzi wa Pamba kupitia Chama cha Wafanyabiashara wa Pamba Tanzania (TCA), Wakulima kupitia Chama cha Wakulima wa Pamba Tanzania (TACOGA) Serikali kupitia Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika na Bodi ya Pamba pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: Kikosi cha pamba FC "TP LINDANDA" ya mwanza

Kikosi cha kazi cha Pamba FC a.k.a "TP Lindanda" ya Mwanza iliyokuwa moto wa kuotea mbali enzi zake. Mdau mwenye kukumbuka majina yao msaada tutani tafadhali

 

9 years ago

StarTV

Vurugu za tawala kanisa la Baba God Pamba Mwanza

Mtaa wa Pamba jijini Mwanza umekumbwa na hali ya vurugu baada ya waumini wa kanisa la Trustees of Throne of Glory Ministries kuhamishwa kwa nguvu kutoka katika jengo walilokuwa wakilitumia kwa shughuli za ibada.

Waumini wa kanisa hilo linalojulikana kama kanisa La Baba God wamehamishwa kutokana na kuisha kwa mkataba baina yao na mmiliki wa jengo hilo.

Kumalizika kwa mkataba wa kutumia jengo hilo kwa shughuli za ibada kunawalazimu waumini wa kanisa la Trustees of throne of Glory ministries...

 

9 years ago

Michuzi

UMEME WA PUMBA ZA MCHELE, MASHUDU YA PAMBA WATUMIKA KUENDESHEA MITAMBO YA TBL MWANZA

Raymond Richmond, Meneja wa kampuni ya Bia (TBL) Mwanza,akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), mapumba ya mchele,yanayotumika kuzalisha nishati ya umeme wa kuendesha mitambo ya kiwanda hicho.Kulia ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo.
Mwandishi wa habari, Daniel Mkate (kushoto) akiwauliza maswali, Meneja wa  Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza, Raymond Richmond na Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo, Sunday Kidolezi, kuhusu  changamoto ya upatikanaji wa mali ghafi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani