Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TARI UKIRIGURU YAGUNDUA AINA 10 ZA MBEGU BORA ZA PAMBA


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyevaa tai) akipata maelezo ya aina za mbegu bora ya pamba zilizogunduliwa na Kituo cha TARI Ukiriguru mkoa wa Mwanza leo.
Katibu Mkuu Wizara Kilimo Bw.Gerald Kusaya (katikati) akiongea na watumishi wa Chuo cha Mafunzo ya Kilimo MATI Ukiriguru alipofanya ziara ya kukagua utendaji kazi wa chuo hicho leo wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza.


Watumishi wa chuo cha Kilimo MATI Ukiriguru wilaya ya Misungwi wakimsikiliza Katibu Mkuu ( hayupo pichani)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanzania sasa yagundua mbegu mpya ya mahindi

Wataalamu wa kilimo nchini wamegundua aina tatu mpya za mbegu za mahindi ambazo zina uwezo wa kuvumilia ukame.

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA KILIMO YAWAPONGEZA WATAFITI WA MBEGU ZA MICHIKICHI KWA KUONGEZA UZALISHAJI WA MBEGU BORA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyeshika miche ) akikagua kitalu cha miche ya michikichi inayozalishwa na Gereza Kwitanga kwa ushirikiano na TARI Kihinga.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa ameshika mche bora wa mchikichi uliozalishwa na Kituo cha utafiti TARI Kihinga mkoa wa Kigoma leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akikagua kitalu cha miche bora ya zao la michikichi katika Gereza Kwitanga mkoa wa Kigoma leo alipotembelea kuona utekelezaji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbegu za pamba zawaliza madiwani

Wakulima wa pamba katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga wanashindwa kununua mbegu kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo kwa madai kwamba bei imepanda kutoka Sh300 kwa kilo hadi Sh500.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanza yasambaza mbegu za pamba kila wilaya

Pamba ikiwa shambaniUMLA ya tani 1,295.65 za mbegu za pamba zimesambazwa kwa wakulima wa pamba kwa wilaya zote za mkoa wa Mwanza ikiwa ni sawa na asilimia 65.27 ya mgawo kutoka Bodi ya Pamba (TCB).

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima wa pamba Mara wagomea mbegu za manyoya

WAKULIMA wa pamba wa Mara wameiomba Bodi ya Pamba kuwasambazia mbegu zisizo na manyoya kwa sababu ndizo zinazoota kwa urahisi na kwa wakati muafaka katika maeneo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi ya pamba yatakiwa kupeleka mbegu mbadala

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, wameomba Bodi ya Pamba kuweka utaratibu wa kusambaza mbegu mbadala ya zao la pamba, baada ya zilizosambazwa na Kampuni ya Quton kubainika hazioti katika maeneo ya wilayani hapa.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU KUIDHINISHWA KUTUMIKA KWA AINA MPYA ZA MBEGU ZA MAZAO

Naibu Natibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Chula na Ushirika Dkt.Yamungu Kayandabila (wa kwanza kushoto)  akiongea na vyombo vya habari wakati wa kuidhinisha aina mpya 65 za mbegu za kilimo katika mkutano uliofanyika hivi  karibuni katika  ukumbi wa New Safari  hotel ya mjini Arusha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watakiwa kuzalisha mbegu bora

NAIBU Waziri wa Kilimo na Chakula, Godfrey Zambi, amewataka wazalishaji wa mbegu kuhakikisha kuwa wanazalisha mbegu bora zinazozingatia viwango ili kukuza sekta ya kilimo na kuleta mapinduzi ya kijani. Zambi,...

 

11 years ago

Mwananchi

Uzalishaji wa mbegu bora tatizo - Rais Kikwete

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania ina upungufu wa uzalishaji wa mbegu kwa asilimia 75 na kuwaomba wafanyabiashara na wajasiliamali nchini kuongeza nguvu ili kuinua sekta hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani