Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzalishaji wa mbegu bora tatizo - Rais Kikwete

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania ina upungufu wa uzalishaji wa mbegu kwa asilimia 75 na kuwaomba wafanyabiashara na wajasiliamali nchini kuongeza nguvu ili kuinua sekta hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA KILIMO YAWAPONGEZA WATAFITI WA MBEGU ZA MICHIKICHI KWA KUONGEZA UZALISHAJI WA MBEGU BORA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyeshika miche ) akikagua kitalu cha miche ya michikichi inayozalishwa na Gereza Kwitanga kwa ushirikiano na TARI Kihinga.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa ameshika mche bora wa mchikichi uliozalishwa na Kituo cha utafiti TARI Kihinga mkoa wa Kigoma leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akikagua kitalu cha miche bora ya zao la michikichi katika Gereza Kwitanga mkoa wa Kigoma leo alipotembelea kuona utekelezaji wa...

 

5 years ago

Michuzi

Tunapaswa kujivunia kwa kuongeza eneo la uzalishaji wa mbegu, miche bora pamoja usajili wa Wakulima na watoa huduma za kilimo – Waziri Hasunga

Afisa Mawasiliano serikalini Wizara ya Kilimo Ndg Issa Sabuni (Mwenye Fulana) jambo mbele ya Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mwenye Tai) wakati wa uzinduzi wa mtandao wa kutoa habari (Kilimo Tv) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano maarufu Kilimo IV Jijini Dodoma tarehe 8 Machi 2020. Wengine pichani ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya (asiye na Tai) na  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Prof Siza Tumbo (Mwenye kaunda suti). (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)

 

5 years ago

Michuzi

UZALISHAJI MBEGU ZA MICHIKICHI UNARIDHISHA -WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua miche ya michikichi wakati alipotembelea kitalu cha mbegu bora zinazooteshwa katika kituo cha utafiti wa zao hilo cha Kihinga kilichopo wilayani Kigoma, Februari 21, 2020.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Filson Kagimbo kuhusu uoteshaji wa mbegu bora za michikichi wakati alipotembelea kitalu cha...

 

10 years ago

GPL

MATATIZO KATIKA UZALISHAJI WA MBEGU ZA KIUME (LOW SPERM COUNT)

Matatizo katika uzalishaji wa mbegu za kiume inahusiana na kutokuwepo kwa mbegu za kiume kwenye manii au uwepo wa mbegu kidogo sana katika manii. Mbegu za kiume huwa zinachunguzwa kwa kutumia kifaa maalum au darubini katika maabara, kwa kawaida mwanaume ili aweze kumpa mwanamke mimba anatakiwa atoe kiasi cha mbegu kati ya milioni ishirini hadi milioni mia tatu hamsini kwa tendo, chini ya milioni ishirini huwezi kumpa mimba...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete ataka wataalamu wazawa sekta za uzalishaji

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania imeanza kukimbia kwa kasi kuelekea kwenye mafanikio makubwa ya kimaendeleo yanayotarajiwa katika muda wa miaka 10 ijayo.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atunuku tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana ijumaa.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watakiwa kuzalisha mbegu bora

NAIBU Waziri wa Kilimo na Chakula, Godfrey Zambi, amewataka wazalishaji wa mbegu kuhakikisha kuwa wanazalisha mbegu bora zinazozingatia viwango ili kukuza sekta ya kilimo na kuleta mapinduzi ya kijani. Zambi,...

 

5 years ago

Michuzi

TARI UKIRIGURU YAGUNDUA AINA 10 ZA MBEGU BORA ZA PAMBA


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (aliyevaa tai) akipata maelezo ya aina za mbegu bora ya pamba zilizogunduliwa na Kituo cha TARI Ukiriguru mkoa wa Mwanza leo.
Katibu Mkuu Wizara Kilimo Bw.Gerald Kusaya (katikati) akiongea na watumishi wa Chuo cha Mafunzo ya Kilimo MATI Ukiriguru alipofanya ziara ya kukagua utendaji kazi wa chuo hicho leo wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza.


Watumishi wa chuo cha Kilimo MATI Ukiriguru wilaya ya Misungwi wakimsikiliza Katibu Mkuu ( hayupo pichani)...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete achaguliwa Kiongozi Bora Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani