Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete ataka wataalamu wazawa sekta za uzalishaji

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania imeanza kukimbia kwa kasi kuelekea kwenye mafanikio makubwa ya kimaendeleo yanayotarajiwa katika muda wa miaka 10 ijayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wataalamu wa Sekta ya Rasilimali Watu na Wadau wa Sekta ya Uchumi Kukutana Mtandaoni

Wakati janga la Corona limeathiri njia za ufanyaji kazi duniani kote, kampuni nyingi duniani zimelazimika kutafuta namna mpya ya ufanyaji kazi. Nchini Tanzania, kampuni ya BrighterMonday Tanzania imeandaa semina ya mtandaoni itakayowakutanisha wataalamu katika sekta ya Rasilimali Watu pamoja na wadau katika sekta ya biashara kujadili mchango wa Rasilimali Watu katika kuhakikisha Uendelevu wa Biashara wakati wa mlipuko wa virusi Corona.  
Semina hiyo itafanyika Jumanne, Mei 12, 2020 kwa njia...

 

10 years ago

Habarileo

Mkapa ‘awapigia debe’ wataalamu wazawa

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin MkapaRAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameitaka Wizara ya Ujenzi kuweka mazingira mazuri ya kuwawezesha wataalamu wa ndani kuweza kupata fursa za kushiriki katika ujenzi wa miradi mikubwa ili kuiongezea nchi mapato.

 

11 years ago

Mwananchi

Uzalishaji wa mbegu bora tatizo - Rais Kikwete

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania ina upungufu wa uzalishaji wa mbegu kwa asilimia 75 na kuwaomba wafanyabiashara na wajasiliamali nchini kuongeza nguvu ili kuinua sekta hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Rais Kikwete asisitiza kutumia wataalamu wa ndani

Rais Jakaya Mrisho  Kikwete  imesisitiza matumizi ya wataalamu  kutoka kwa taasisi na mashirika yaliyopo hapa nchini katika kusimamia  na kuendeleza   miradi mbalimbali kwa lengo la kupunguza gharama zinazotumika kuwalipa wataalamu kutoka nje ya nchi.

Rais Kikwete amesema ikiwa idara nyingi zitatumia ubunifu na maarifa ya wataalam wetu wa ndani tutakuwa na miradi mingi itakayojengwa na nguvu za watanzania wenyewe.

Rais Kikwete ameyasema hayo wakati akizindua awamu ya kwanza ya ujenzi wa chuo...

 

10 years ago

Habarileo

China kuendelea kusaidia uzalishaji wataalamu

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China, imesema itaendelea kuongeza ufadhili na kutoa utaalamu kwa Tanzania katika nyanja mbalimbali za maendeleo ikiwemo ya kilimo ili kuongeza kasi ya uzalishaji wa mazao yatakayosaidia kuinua pato kwa mkulima mdogo na kukuza uchumi wa Taifa.

 

9 years ago

StarTV

Wataalamu wa mifugo Afrika wakutana jijini Tanga kujadili uzalishaji wa maziwa

Wataalamu wa mifugo kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamekutana jijini Tanga kujadili namna watakavyoweza kuongeza uzalishaji wa maziwa na bidhaa zinazotokana na maziwa kati ya nchi hizo.

Wataalamu hao wanatoka Misri, Ghana, Zimbabwe, Uganda, Kenya na wenyeji Tanzania.

Tanzania ina ngombe wa maziwa laki 750, licha ya kuwa na ngombe hao lakini jamii bado imekuwa na mwitikio mdogo wa unywaji wa maziwa.

Kwa mujibu wa Shirika la Chakula Duniani FAO, mahitaji ya mtu mmoja kwa mwaka ni lita 200...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA MODENAIZESHENI YA SEKTA YA MIFUGO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo baada ya kuuzindua mpango huo leo Jumatatu Julai 20, 2015Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo baada ya kuuzindua mpango huo leo Jumatatu Julai 20, 2015Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na maafisa waandamizi wa Wizara ya Mifugo baada ya kuzindua Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015Rais...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Wataalamu watatu wa utafiti wa chanjo ya Malaria kutoka Ifakara Health Institute mjini Malabo, Equatorial Guinea

d3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dr. Ally Olot, mtafiti wa chanjo ya malaria na kiongozi wa watafiti wa Ifakara Health Institute (IHI) Malabo, Equatorial Guinea) walipomtembelea kwenye makazi yake mjini Malabo ambako Rais alikuwa anahudhuria mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika. Wengine ni Dr. Mwajuma Chemba ambaye ni Mtalaamu mratibu wa tafiti za chanjo ya malaria, na Elizabeth Nyakarungu, Mtaalamu wa maabara, utambuzi wadudu wa Malaria).

d4

d6

Rais Kikwete aliwapongeza sana...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZUNGUMZIA SEKTA YA ELIMU ALIPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UK

Rais Dk. Jakaya Kikwete akizungumzia mipango na maendeleo katika sekta ya elimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani