Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


China kuendelea kusaidia uzalishaji wataalamu

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China, imesema itaendelea kuongeza ufadhili na kutoa utaalamu kwa Tanzania katika nyanja mbalimbali za maendeleo ikiwemo ya kilimo ili kuongeza kasi ya uzalishaji wa mazao yatakayosaidia kuinua pato kwa mkulima mdogo na kukuza uchumi wa Taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

China sasa kuendelea kusaidia sekta ya kilimo

Serikali ya China imeahidi kuendelea kutoa ufadhili na utaalamu katika sekta ya kilimo, ili kuongeza uzalishaji wa mazao utakao saidia kuongeza pato la wakulima wadogo na taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete ataka wataalamu wazawa sekta za uzalishaji

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania imeanza kukimbia kwa kasi kuelekea kwenye mafanikio makubwa ya kimaendeleo yanayotarajiwa katika muda wa miaka 10 ijayo.

 

9 years ago

StarTV

Wataalamu wa mifugo Afrika wakutana jijini Tanga kujadili uzalishaji wa maziwa

Wataalamu wa mifugo kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamekutana jijini Tanga kujadili namna watakavyoweza kuongeza uzalishaji wa maziwa na bidhaa zinazotokana na maziwa kati ya nchi hizo.

Wataalamu hao wanatoka Misri, Ghana, Zimbabwe, Uganda, Kenya na wenyeji Tanzania.

Tanzania ina ngombe wa maziwa laki 750, licha ya kuwa na ngombe hao lakini jamii bado imekuwa na mwitikio mdogo wa unywaji wa maziwa.

Kwa mujibu wa Shirika la Chakula Duniani FAO, mahitaji ya mtu mmoja kwa mwaka ni lita 200...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uzalishaji wa mafuta kuendelea-OPEC

Bei ya mafuta ulimwenguni imeendele kushuka kwa kiwango cha chini kwa kipindi cha miaka minne mfululizo.

 

10 years ago

Habarileo

wawakilishiSMZ kuendelea kusomesha wataalamu

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea na kazi ya kusomesha wataalamu katika Sekta ya Kilimo nchini kwa lengo la kuhakikisha kwamba kilimo kinapiga hatua kubwa na kuwa ndio tegemeo la taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Ataka wataalamu wa kilimo kusaidia wananchi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni SefueKATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amewataka wataalamu wa kilimo katika halmashauri kuwa karibu na wananchi ili kuwasaidia kuboresha kilimo na mifugo yao.

 

11 years ago

Habarileo

TIC kuendelea kusaidia wajasiriamali

KITUO cha Uwekezaji (TIC) kitaendelea kusaidia wajasiriamali wadogo, kujenga uwezo katika biashara zao, ili wakue na kukuza uchumi wao na wa nchi kwa ujumla.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UDA kuendelea kusaidia miradi ya kijamii, kiuchumi

SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limethibitisha kuwa litaendelea kusaidia miradi ya uwezeshaji ya kiuchumi nchini, ili kusaidia kuinua ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi...

 

9 years ago

Habarileo

Waziri aliyeanguka kuendelea kusaidia Jimbo la Mbozi

ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amesema pamoja na kuanguka kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, bado anayo nafasi ya kushiriki kuleta maendeleo ya Jimbo la Mbozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani