Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMEME WA PUMBA ZA MCHELE, MASHUDU YA PAMBA WATUMIKA KUENDESHEA MITAMBO YA TBL MWANZA

Raymond Richmond, Meneja wa kampuni ya Bia (TBL) Mwanza,akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), mapumba ya mchele,yanayotumika kuzalisha nishati ya umeme wa kuendesha mitambo ya kiwanda hicho.Kulia ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo.
Mwandishi wa habari, Daniel Mkate (kushoto) akiwauliza maswali, Meneja wa  Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza, Raymond Richmond na Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo, Sunday Kidolezi, kuhusu  changamoto ya upatikanaji wa mali ghafi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

10 years ago

Habarileo

Maofisa jeshi la Kenya wasifu mitambo TBL

MAOFISA wa jeshi kutoka Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Nairobi, Kenya wamepongeza teknolojia ya kisasa inayotumiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika shughuli mbalimbali za uzalishaji kwa kuwa inaongeza ushindani.

 

9 years ago

Vijimambo

MAOFISA WA TAASISI YA STEP1 YA KOREA WAPATA MAFUNZO YA UENDESHAJI MITAMBO TBL

 Meneja wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Bw. Calvin Martin (wa pili kushoto), akiwaonyesha Watafiti kutoka Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojkia na wageni kutoka Taasisi ya STEPI ya Korea, mitambo mipya ya kuzalisha bia, walipotembelea kiwanda hicho, Dar es Salaam jana kujifunza kuhusu uendeshaji na aina ya mitambo. Maofisa kutoka Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia na wageni wao kutoka Taasisi ya STEPI ya Korea wakimsikiliza kwa makini, Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mitambo ya umeme ‘yaitafuna’ Tanesco

Wafadhili na mabalozi wanaowakilisha mashirika na nchi zao hapa nchini wakikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme wa gesi cha Kinyerezi, Dar es Salaam hivi karibuni.MITAMBO ya kufua umeme inayotumia mafuta kwa ajili ya kufua umeme nchini, imetajwa kuwa kikwazo katika maendeleo ya Taifa, kutokana na kutumia rasilimali fedha za kigeni nyingi katika kuzalisha nishati hiyo nchini, ambayo ingeweza kutumika katika maendeleo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mitambo ya umeme kufungwa Tanzania

Gazeti la the Citizen nchini Tanzania limeripoti kwamba mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia maji itafungwa kutokana na viwango vya chini vya maji.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaongeza mitambo ya kuzalisha umeme

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneKUTOKANA na kukua kwa kasi ya mahitaji ya umeme, Serikali imeamua kuongeza mitambo mingine ya kuzalisha umeme kwa kiasi cha megawati 185 katika Mradi wa Kinyerezi I uliopo jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Muhongo: Tatizo la umeme ni uchakavu wa mitambo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema tatizo la uzalishaji umeme kwenye mabwawa ni uchakavu wa mitambo baada ya kufanya ziara na naibu wake, Dk Menard Kalemani kwenye vituo vya New Pangani na Hale mkoani Tanga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yatoa mitambo kuongeza uzalishaji umeme

KAMPUNI ya GE Power & Water Distributed Power, imetoa vifaa viwili na mitambo minne itakayosaidia kuongeza kiwango cha uzalishaji wa umeme kwa asilimia 15 kwa Kampuni ya Jacobsen Elektro AS,...

 

11 years ago

Dewji Blog

RC Mwanza azindua msimu wa ununuzi wa pamba 2014/15

pic mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo.

Na Mwandishi Wetu

MKUU wa mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo, hivi karibuni amezindua rasmi msimu wa ununuzi wa pamba wa 2014/15 katika kijiji cha Isole Wilayani Sengerema.

Wadau wa msingi wa zao la pamba ambao ni pamoja na wanunuzi wa Pamba kupitia Chama cha Wafanyabiashara wa Pamba Tanzania (TCA), Wakulima kupitia Chama cha Wakulima wa Pamba Tanzania (TACOGA) Serikali kupitia Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika na Bodi ya Pamba pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani