Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitambo ya umeme kufungwa Tanzania

Gazeti la the Citizen nchini Tanzania limeripoti kwamba mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia maji itafungwa kutokana na viwango vya chini vya maji.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

10 years ago

Habarileo

Mitambo ya umeme ‘yaitafuna’ Tanesco

Wafadhili na mabalozi wanaowakilisha mashirika na nchi zao hapa nchini wakikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme wa gesi cha Kinyerezi, Dar es Salaam hivi karibuni.MITAMBO ya kufua umeme inayotumia mafuta kwa ajili ya kufua umeme nchini, imetajwa kuwa kikwazo katika maendeleo ya Taifa, kutokana na kutumia rasilimali fedha za kigeni nyingi katika kuzalisha nishati hiyo nchini, ambayo ingeweza kutumika katika maendeleo.

 

9 years ago

Mwananchi

Muhongo: Tatizo la umeme ni uchakavu wa mitambo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema tatizo la uzalishaji umeme kwenye mabwawa ni uchakavu wa mitambo baada ya kufanya ziara na naibu wake, Dk Menard Kalemani kwenye vituo vya New Pangani na Hale mkoani Tanga.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaongeza mitambo ya kuzalisha umeme

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneKUTOKANA na kukua kwa kasi ya mahitaji ya umeme, Serikali imeamua kuongeza mitambo mingine ya kuzalisha umeme kwa kiasi cha megawati 185 katika Mradi wa Kinyerezi I uliopo jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yatoa mitambo kuongeza uzalishaji umeme

KAMPUNI ya GE Power & Water Distributed Power, imetoa vifaa viwili na mitambo minne itakayosaidia kuongeza kiwango cha uzalishaji wa umeme kwa asilimia 15 kwa Kampuni ya Jacobsen Elektro AS,...

 

9 years ago

Michuzi

UMEME WA PUMBA ZA MCHELE, MASHUDU YA PAMBA WATUMIKA KUENDESHEA MITAMBO YA TBL MWANZA

Raymond Richmond, Meneja wa kampuni ya Bia (TBL) Mwanza,akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), mapumba ya mchele,yanayotumika kuzalisha nishati ya umeme wa kuendesha mitambo ya kiwanda hicho.Kulia ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo.
Mwandishi wa habari, Daniel Mkate (kushoto) akiwauliza maswali, Meneja wa  Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza, Raymond Richmond na Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo, Sunday Kidolezi, kuhusu  changamoto ya upatikanaji wa mali ghafi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAFANYA ZIARA KATIKA MITAMBO YA KUFUA UMEME YA KINYEREZI 1

Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Wanja Mtawazo ( kulia) akisalimiana na Mbunge wa Lulindi- Masasi, Jerome  Bwanausi ( kushoto) ambaye ni mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini mara baada ya kamati hiyo kuwasili katika eneo la mtambo wa kufua umeme wa Kinyerezi I. Kamati hiyo inafanya ziara katika miradi ya umeme katika mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Singida, Arusha na Kilimanjaro pamoja na kuzungumza na wadau wa madini ya...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI APOKEA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliachim Maswi (Kushoto) akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bw. Felchesmi Mramba wakati wa Halfa ya kupokea mitambo miwili ya kuzalisha umeme yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 183 itakayokwenda kufungwa Kinyerezi ambapo mitambo hiyo itaanza kufanya kazi mwezi wa kumi mwaka huu.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani