Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC Mwanza azindua msimu wa ununuzi wa pamba 2014/15

pic mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo.

Na Mwandishi Wetu

MKUU wa mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo, hivi karibuni amezindua rasmi msimu wa ununuzi wa pamba wa 2014/15 katika kijiji cha Isole Wilayani Sengerema.

Wadau wa msingi wa zao la pamba ambao ni pamoja na wanunuzi wa Pamba kupitia Chama cha Wafanyabiashara wa Pamba Tanzania (TCA), Wakulima kupitia Chama cha Wakulima wa Pamba Tanzania (TACOGA) Serikali kupitia Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika na Bodi ya Pamba pamoja na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TATHMINI YA UNUNUZI WA PAMBA KUFANYIKA KABLA MSIMU


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akikagua mbegu ya pamba inayofanyiwa utafiti kuangalia uwezo wa kuhimili viuatilifu vya ugonjwa wa Mnyauko Fuzari katika shamba la majaribio la kituo cha utafiti TARI Ukiriguru kituo cha Bwanga wilaya ya Chato leo.


Katibu Mkuu wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akitazama shamba la pamba la majaribio ya viuatilifu vya pamba chini ya TARI toka kwa watu binafsi kuona endapo vinauwezo wa kudhibiti ugonjwa wa Mnyauko Fuzari lililopo kijiji cha Bwanga...

 

5 years ago

Michuzi

MSIMU WA PAMBA MWAKA 2020/2021 KUZINDULIWA JUNI 15-WAZIRI HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akifungua mkutano wa maalumu wa wadau wa tasnia ya Pamba uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Benki kuu Jijini Mwanza, leo tarehe 7 Juni 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe Juma Homera (Kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti, na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Emmanuel Maganga wakifuatilia mkutano wa maalumu wa wadau wa tasnia ya Pamba uliofanyika katika Ukumbi...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanza yasambaza mbegu za pamba kila wilaya

Pamba ikiwa shambaniUMLA ya tani 1,295.65 za mbegu za pamba zimesambazwa kwa wakulima wa pamba kwa wilaya zote za mkoa wa Mwanza ikiwa ni sawa na asilimia 65.27 ya mgawo kutoka Bodi ya Pamba (TCB).

 

11 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: Kikosi cha pamba FC "TP LINDANDA" ya mwanza

Kikosi cha kazi cha Pamba FC a.k.a "TP Lindanda" ya Mwanza iliyokuwa moto wa kuotea mbali enzi zake. Mdau mwenye kukumbuka majina yao msaada tutani tafadhali

 

9 years ago

StarTV

Vurugu za tawala kanisa la Baba God Pamba Mwanza

Mtaa wa Pamba jijini Mwanza umekumbwa na hali ya vurugu baada ya waumini wa kanisa la Trustees of Throne of Glory Ministries kuhamishwa kwa nguvu kutoka katika jengo walilokuwa wakilitumia kwa shughuli za ibada.

Waumini wa kanisa hilo linalojulikana kama kanisa La Baba God wamehamishwa kutokana na kuisha kwa mkataba baina yao na mmiliki wa jengo hilo.

Kumalizika kwa mkataba wa kutumia jengo hilo kwa shughuli za ibada kunawalazimu waumini wa kanisa la Trustees of throne of Glory ministries...

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi ameitaka Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Dodoma kuhakikisha inatafuta suluhisho la haraka la changamoto ya maghala na mifumo ya kuhifadhia mazao inayoikabili taasisi hiyo wakati huu wa msimu wa kununua mazao.
Vilevile Dr. Nchimbi ameelekeza ukarabati wa Maghala ya hifadhi ya “National Milling” yaliyopo eneo la Makole ambayo uwezo wake ni kuhifadhi takribani tani elfu 10 kwa ghala uwekewe mkakati ili kusaidia kuleta suluhisho la...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AZINDUA FILAMU MPYA YA 'I LOVE MWANZA' JIJINI MWANZA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), akisadiwa na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, kukata utepe kuzindua filamu mpya iitwayo ‘I Love Mwanza’ iliyoandaliwa na Lake Zone Youth Empowerment Foundation kwa kushirikiana na Tropical Media Tanzania Ltd, katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza Jumamosi usiku. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wa watatu kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha...

 

9 years ago

Michuzi

UMEME WA PUMBA ZA MCHELE, MASHUDU YA PAMBA WATUMIKA KUENDESHEA MITAMBO YA TBL MWANZA

Raymond Richmond, Meneja wa kampuni ya Bia (TBL) Mwanza,akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), mapumba ya mchele,yanayotumika kuzalisha nishati ya umeme wa kuendesha mitambo ya kiwanda hicho.Kulia ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo.
Mwandishi wa habari, Daniel Mkate (kushoto) akiwauliza maswali, Meneja wa  Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza, Raymond Richmond na Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo, Sunday Kidolezi, kuhusu  changamoto ya upatikanaji wa mali ghafi...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua  uuzaji wa hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam, uliofanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa  hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika   jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akiteta na baadhi ya Viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani