Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAOFISA WA TAASISI YA STEP1 YA KOREA WAPATA MAFUNZO YA UENDESHAJI MITAMBO TBL

 Meneja wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Bw. Calvin Martin (wa pili kushoto), akiwaonyesha Watafiti kutoka Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojkia na wageni kutoka Taasisi ya STEPI ya Korea, mitambo mipya ya kuzalisha bia, walipotembelea kiwanda hicho, Dar es Salaam jana kujifunza kuhusu uendeshaji na aina ya mitambo. Maofisa kutoka Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia na wageni wao kutoka Taasisi ya STEPI ya Korea wakimsikiliza kwa makini, Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Maofisa jeshi la Kenya wasifu mitambo TBL

MAOFISA wa jeshi kutoka Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Nairobi, Kenya wamepongeza teknolojia ya kisasa inayotumiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika shughuli mbalimbali za uzalishaji kwa kuwa inaongeza ushindani.

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi kutoka Finland yatafuta ubia wa uendeshaji mafunzo nchini

Mshauri Mwandamizi, Bw. Shielles Tenaw, (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dkt. Pancras Bujulu, (katikati) wakimfuatilia kwa makini mmoja wa wanafunzi wa Fani ya Ufundi Mitambo (Fitter Mechanics), katika Chuo cha VETA Dar es Salaam, akiwaonesha utendaji kazi wa mashine na mitambo mbalimbali walipotembelea Karakana y Ufundi Mitambo, Chuoni hapo.Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Omnia Espoo, Sampo Suihko, (kushoto), akifuatilia kwa makini maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dkt. Pancras Bujulu,...

 

9 years ago

Michuzi

UMEME WA PUMBA ZA MCHELE, MASHUDU YA PAMBA WATUMIKA KUENDESHEA MITAMBO YA TBL MWANZA

Raymond Richmond, Meneja wa kampuni ya Bia (TBL) Mwanza,akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), mapumba ya mchele,yanayotumika kuzalisha nishati ya umeme wa kuendesha mitambo ya kiwanda hicho.Kulia ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo.
Mwandishi wa habari, Daniel Mkate (kushoto) akiwauliza maswali, Meneja wa  Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza, Raymond Richmond na Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo, Sunday Kidolezi, kuhusu  changamoto ya upatikanaji wa mali ghafi...

 

10 years ago

Michuzi

MAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR

 Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam. Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi akisalimiana na Mkufunzi wa Kozi ya Eme, Kapteni Erasto Kalinga Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzaniaa (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam. Meneja wa Afya na Usalama mahali pa kazi wa TBL, Renatus Nyanda akitoa maelezo kwa maofisa hao jinsi ya kuzingatia usalama watakapotembelea...

 

10 years ago

GPL

MAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR‏

  Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi akisalimiana na Mkufunzi wa Kozi ya Eme, Kapteni Erasto Kalinga.
 Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam.…

 

9 years ago

Michuzi

Nacte yatoa taratibu za uendeshaji wa mafunzo ya ufundi nchini

Kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Adolf Rutayuga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo (pichani) wakati alipokuwa akiongea nao makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo Mikocheni  jijini Dar es Salaam, kuhusiana na  maamuzi mbalimbali yaliyofanywa  na baraza hilo katika kuratibu uendeshaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi na ufuatiliaji wa Ubora wa Mafunzo wa (NACTE) Agnes Ponera na Msaidizi wa Katibu Mtendaji...

 

9 years ago

GPL

NACTE YATOA TARATIBU ZA UENDESHAJI WA MAFUNZO YA UFUNDI NCHINI‏

Kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Adolf  Rutayuga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo (pichani) wakati alipokuwa akiongea nao makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo Mikocheni  jijini Dar es Salaam, kuhusiana na  maamuzi mbalimbali yaliyofanywa  na baraza hilo katika kuratibu uendeshaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi na ufuatiliaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAOFISA WA TBL WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOWEZESHWA NA ACE AFRICA CHINI YA UFADHILI WAO

 Mwenyekiti wa Kikundi cha Tumaini Saccos, akiowanesha namna sanduku maalumu la kutunzia taarifa za kikundi chao linavyolindwa, wakati maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania walipokwenda hivi karibuni kukagua miradi mbalimbali ya wananchi wilayani Arumeru inayowezeshwa na Taasisi ya ACE AFRIKA kwa ufadhili wa TBL.
 Mwanachama wa Tumaini Saccos ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa kikundi hicho akionesha baadhi ya shughuli anazozifanya mbazo amewezeshwa na ACE AFRICA  chini ya ufadhili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani