Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi kutoka Finland yatafuta ubia wa uendeshaji mafunzo nchini

Mshauri Mwandamizi, Bw. Shielles Tenaw, (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dkt. Pancras Bujulu, (katikati) wakimfuatilia kwa makini mmoja wa wanafunzi wa Fani ya Ufundi Mitambo (Fitter Mechanics), katika Chuo cha VETA Dar es Salaam, akiwaonesha utendaji kazi wa mashine na mitambo mbalimbali walipotembelea Karakana y Ufundi Mitambo, Chuoni hapo.Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Omnia Espoo, Sampo Suihko, (kushoto), akifuatilia kwa makini maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dkt. Pancras Bujulu,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAOFISA WA TAASISI YA STEP1 YA KOREA WAPATA MAFUNZO YA UENDESHAJI MITAMBO TBL

 Meneja wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Bw. Calvin Martin (wa pili kushoto), akiwaonyesha Watafiti kutoka Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojkia na wageni kutoka Taasisi ya STEPI ya Korea, mitambo mipya ya kuzalisha bia, walipotembelea kiwanda hicho, Dar es Salaam jana kujifunza kuhusu uendeshaji na aina ya mitambo. Maofisa kutoka Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia na wageni wao kutoka Taasisi ya STEPI ya Korea wakimsikiliza kwa makini, Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya...

 

11 years ago

GPL

VODACOM YAINGIA UBIA NA TAASISI ZA KIMATAIFA KUSAIDIA WAKULIMA NCHINI

Taasisi ya Connected Farmer Alliance (CFA) ya ubia kati ya watu binafsi na makampuni inayohusisha Vodafone,Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID)  na Shirika lisilo la kibiashara la TechnoServe leo yamesainiana  makubaliano ya kwanza ya kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu kuongeza uzalishaji kwa maelfu ya wakulima wadogo wa vipato vya chini nchini Tanzania. Kwa mujibu wa makubaliano kati ya CFA, Olam International...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yaingia ubia na taasisi za kimataifa kusaidia wakulima 30,000 nchini

Taasisi ya Connected Farmer Alliance (CFA) ya ubia kati ya watu binafsi na makampuni inayohusisha Vodafone,Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID) na Shirika lisilo la kibiashara la TechnoServe leo yamesainiana makubaliano ya kwanza ya kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu kuongeza uzalishaji kwa maelfu ya wakulima wadogo wa vipato vya chini nchini Tanzania.Kwa mujibu wa makubaliano kati ya CFA, Olam International inayojishughulisha na masuala ya elimu kwa wakulima na ununuzi wa mazao...

 

10 years ago

Michuzi

Nacte yatoa taratibu za uendeshaji wa mafunzo ya ufundi nchini

Kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Adolf Rutayuga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo (pichani) wakati alipokuwa akiongea nao makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo Mikocheni  jijini Dar es Salaam, kuhusiana na  maamuzi mbalimbali yaliyofanywa  na baraza hilo katika kuratibu uendeshaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi na ufuatiliaji wa Ubora wa Mafunzo wa (NACTE) Agnes Ponera na Msaidizi wa Katibu Mtendaji...

 

10 years ago

GPL

NACTE YATOA TARATIBU ZA UENDESHAJI WA MAFUNZO YA UFUNDI NCHINI‏

Kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Adolf  Rutayuga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo (pichani) wakati alipokuwa akiongea nao makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo Mikocheni  jijini Dar es Salaam, kuhusiana na  maamuzi mbalimbali yaliyofanywa  na baraza hilo katika kuratibu uendeshaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi na ufuatiliaji wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano na Mtunzi wa Vitabu vya Utaalamu wa Mapishi Benn Haidari, kutoka Stockholm nchini Finland

Sikiliza AUDIO ya Mahojiano na Mtunzi wa Vitabu vya Utaalamu wa Mapishi Benn Haidari kutoka Stockholm nchini Finland. alipolonga na Swahilivilla.blog   Bofya  HAPA kwa ununuzi wa Vitabu vyake.

 

10 years ago

Michuzi

Taasisi kutoka India yawapiga msasa wakaguzi wa migodi nchini

Kamishna Msaidizi – Ukaguzi wa Migodi, Mhandisi Ally Samaje kutoka Wizara ya Nishati na Madini (Kushoto) akijadiliana jambo na Mtaalam mwelekezi kutoka Taasisi ya Sayansi na Mazingira ya Nchini India, Sujit Kumar Singh (Kulia) kwenye mafunzo yaliyoshirikisha wakaguzi wa migodini nchini yaliyofanyika mjini Bagamoyo mkoani Pwani. Sehemu ya washiriki wa mafunzo yaliyoshirikisha wakaguzi wa migodini nchini yaliyofanyika mjini Bagamoyo mkoani Pwani wakishiriki katika zoezi la kuandaa...

 

10 years ago

Mwananchi

HOJA YA MWAKA: Uchaguzi wa wabunge wa Finland na mafunzo kwa watanzania

Ndugu wasomaji wangu leo nimeona niendelee na mfululizo wa kuwandaa wananchi na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kujifunza yanayotokea kwenye chaguzi za nchi nyingine duniani. Wiki mbili zilizopita niliandika tena kwa mara ya pili kuhusu uchaguzi wa Nigeria na kilichotokea katika ngazi mbalimbali za uchaguzi huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani