Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa kilimo atua mkoani Iringa, akutana na wakulima wa Tumbaku

  mwi5Waziri wa Kilimo Mifugo na Ushirika Mh. Mwigulu Nchemba  akipokelewa katika  ofisi ya Mkuu wa Iringa na kupokelewa na  Mkuu wa Mkoa Mh. Amina Masenza na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Richard Kasesela.mwi3Waziri wa kilimo Mh Mwigulu Nchemba leo amesikiliza malalamiko ya wakulima wa Tumbaku na kuwahakikishia zao la tumbaku halitakufa kwani linaleta pato kwa taifa. Waziri wa kilimo Mh Mwigulu Nchemba leo amesikiliza malalamiko ya wakulima wa Tumbaku na kuwahakikishia zao la tumbaku...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Kilimo na Ushirika akutana na Wanunuzi wa Tumbaku

 Waziri wa wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh.Eng Christopher Chiza amewataka wanunuzi wa tumbaku kuja na mikakati mipya ili kuwanufaisha na kuimarisha soko la wakulima wa tumbaku. Mhe. Chiza ameyasema hayo leo ofsini kwake alipokutana na Meneja mkuu wa kampuni ya ununuzi wa tumbaku kutoka kampuni ya JTI.  Pamoja na mambo mengine waziri amewataka wafanya biashara hao kuaanda mikataba kwa lugha ya Kiswahili na kingereza ili kuwafanya wakulima waelewe masharti na manufaa ambayo yanaweza...

 

9 years ago

StarTV

Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru

Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa  ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.

 

Wakulima hao wamesema bado  kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.

 

Zao la tumbaku...

 

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA TUMBAKU WAULALALMIKIA UBADHILIFU MKUBWA WA FEDHA ULIOFANYWA NA VYAMA VYA USHIRIKA WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia,wakazi wa Sikonge katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa CCM,wilayani Sikonge mkoani Tabora.Kinana alizungumzia changamoto mbalimbali zinazowakumba wakulima wa zao la Tumbaku huku akionesha kabrasha la taarifa ya ukaguzi na uchunguzi wa chama cha Ushirika cha WETCO LTD,ambalo linaeleza namna wakulima wa Tumbaku walivyoibiwa mamilioni ya fedha.
Aidha,Wananchi wa Sikonge wameulalamikia ubadhilifu huo mkubwa wa fedha...

 

11 years ago

Michuzi

mwaka wa Kilimo wa Afrika wazinduliwa mkoani Iringa

Mkuu wa Mkoa wa Iringa,Mh.Dkt.Christine Ishengoma akipiga makofi mara baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi wa ghala la Mazao,katika kijiji cha Kaning`ombe,wilayani Iringa mkoani humo mwishoni mwa wiki,wakati wa uzinduzi wa mwaka wa Kilimo wa Afrika. Sehemu ya Wadau mbalimbali wa kilimo walioshiriki uzinduzi huo wa Mwaka wa Kilimo wa Afrika mkoani  Iringa. Mwakilishi wa shirika la Afrika One kutoka Afrika Kusini,Mercy Erhiawarien akitoa ufafanuzi mbele ya wadau wa kilimo (hawapo...

 

5 years ago

StarTV

Waziri Mkuu Majaliwa atua Iringa tayari kwenda Njombe.

​Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ametua leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa tayari kuelekea mkoani Njombe kuendelea na ziara ya kikazi katika mkoa huo. Mhe. Majaliwa alilazimika kukatiza ziara yake mkoani njombe na kwenda Dar Es Salaam kwa shughuli ya kikazi. Mkoani Iringa Waziri Mkuu amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa …

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ATUA KIGOMA, AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu, Issa Machibya (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe katika ofisi za Mkoa huo zilizopo mjini Kigoma wakati Waziri Chikawe na maafisa wake walipofanya ziara ya kikazi katika mkoa huo. Waziri Chikawe alikutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya usalama katika wilaya zote za mkoa huo. Waziri Chikawe katika ziara yake hiyo, pia anatarajiwa kutembelea Kambi za...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AZINDUA MFUMO WA KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA WANUNUZI WA MAZAO (MOBILE KILIMO)

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa mfumo wa kutoa huduma za masoko na huduma za ugani kwa njia ya mtandao (M-Kilimo) Jijini Dodoma, Leo tarehe 18  Mei 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe (Mb) akionyesha kipeperushi wakati wa uzinduzi wa mfumo wa kutoa huduma za masoko na huduma za ugani kwa njia ya mtandao (M-Kilimo) Jijini Dodoma, Leo tarehe 18  Mei 2020. Wengine Pichani ni Waziri wa Kilimo Mhe...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Akutana na Balozi wa Marekani

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Masatu Wasira amefanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe Mark Childress ofisini kwake.
Mhe Wasira katika mazungumzo yake na Balozi Childdress alibainisha changamoto zinazokabili kilimo nchini kuwa ni pamoja na zana duni zinazotumiwa na wakulima wadogo katika kilimo kuwa ni jembe la mkono. Alisema kwa kutumia jembe la mkono itakuwa ni ngumu kuondoa umaskini kwa wakulima wadogo katika maeneo ya vijijini.
Aliongeza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani