Waziri wa Kilimo na Ushirika akutana na Wanunuzi wa Tumbaku
![](http://3.bp.blogspot.com/-DIusPcmgnRM/U8BFx3pYahI/AAAAAAAF1Rg/WWSTXlo-ZDE/s72-c/unnamed+(26).jpg)
Waziri wa wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh.Eng Christopher Chiza amewataka wanunuzi wa tumbaku kuja na mikakati mipya ili kuwanufaisha na kuimarisha soko la wakulima wa tumbaku. Mhe. Chiza ameyasema hayo leo ofsini kwake alipokutana na Meneja mkuu wa kampuni ya ununuzi wa tumbaku kutoka kampuni ya JTI. Pamoja na mambo mengine waziri amewataka wafanya biashara hao kuaanda mikataba kwa lugha ya Kiswahili na kingereza ili kuwafanya wakulima waelewe masharti na manufaa ambayo yanaweza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi06 Jan
Waziri wa kilimo atua mkoani Iringa, akutana na wakulima wa Tumbaku
![mwi5](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2016/01/mwi5.jpg)
![mwi3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2016/01/mwi3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-b6mUdh2y6Ks/VPgqqsphECI/AAAAAAAHHx0/FRnRm7laLNs/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Akutana na Balozi wa Marekani
![](http://4.bp.blogspot.com/-b6mUdh2y6Ks/VPgqqsphECI/AAAAAAAHHx0/FRnRm7laLNs/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
Mhe Wasira katika mazungumzo yake na Balozi Childdress alibainisha changamoto zinazokabili kilimo nchini kuwa ni pamoja na zana duni zinazotumiwa na wakulima wadogo katika kilimo kuwa ni jembe la mkono. Alisema kwa kutumia jembe la mkono itakuwa ni ngumu kuondoa umaskini kwa wakulima wadogo katika maeneo ya vijijini.
Aliongeza...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-0JSvyAwlhRg/VXgxSTEOyMI/AAAAAAADUWI/k8yeR89ZlyE/s72-c/2........jpg)
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akutana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.
![](http://1.bp.blogspot.com/-0JSvyAwlhRg/VXgxSTEOyMI/AAAAAAADUWI/k8yeR89ZlyE/s640/2........jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7uwsiC536eQ/VXgxN5-Z_lI/AAAAAAADUWA/DToNU_e8yfc/s640/1......jpg)
Na. Issa Sabuni, WKCUWaziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya...
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA AZINDUA MFUMO WA KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA WANUNUZI WA MAZAO (MOBILE KILIMO)
10 years ago
Mwananchi07 May
UCHAGUZI CCM 2015: Stephen Wasira, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-curVweAhA70/VozSh8xvBVI/AAAAAAADEiQ/jUm-M1P_Mak/s72-c/maj22.jpg)
WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU
![](http://2.bp.blogspot.com/-curVweAhA70/VozSh8xvBVI/AAAAAAADEiQ/jUm-M1P_Mak/s400/maj22.jpg)
Akizungumza jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T7FqYtP5z5M/U5XhphW58eI/AAAAAAAFpR8/VUsR1o_Wsgs/s72-c/unnamed+(5).jpg)
WAZIRI WA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA, MHE. CHIZA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI, MS. DIANNA MELROSE
![](http://2.bp.blogspot.com/-T7FqYtP5z5M/U5XhphW58eI/AAAAAAAFpR8/VUsR1o_Wsgs/s1600/unnamed+(5).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-RYs9QXyO8I8/U7ucPwCbGuI/AAAAAAAFxW8/9ZIBF5RPkYs/s72-c/image.jpeg)
WAZIRI WA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-RYs9QXyO8I8/U7ucPwCbGuI/AAAAAAAFxW8/9ZIBF5RPkYs/s1600/image.jpeg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-hHZstPnDE-s/U7ucPyjVrnI/AAAAAAAFxXA/ZOLbehgKUoQ/s1600/image_1.jpeg)