TRL walalamikia makato ya bima
Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), wameulalamikia uongozi wao kwa kuwakata fedha kwa ajili ya bima ya afya, lakini makato hayo kutopelekwa kwa wakati na kusababisha wakataliwe kutibiwa hospitalini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Madiwani walalamikia makato benki
9 years ago
StarTV19 Dec
Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru
Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.
Wakulima hao wamesema bado kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.
Zao la tumbaku...
11 years ago
Mwananchi31 May
Bima Lee: Bendi ya Shirika la Bima iliyotamba kwa mtindo wa Magnet Tingisha
11 years ago
Habarileo21 Jun
Walimu wa leseni kurejeshewa makato
WALIMU wa leseni walioajiriwa na Serikali na kupewa mafunzo ya awali na ya ualimu ya muda wa mwezi mmoja, waliokatwa mshahara wao kwa ajili ya kuchangia Chama cha Walimu Tanzania (CWT), watarudishiwa makato hayo.
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Suala la makato lahojiwa bungeni
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Malipo, makato ya ujira kisheria
KATIKA makala zangu za huko nyuma niliwahi kuzungumzia juu ya haki mbalimbali za wafanyakazi kwa mujibu wa sheria kama zilivyoainishwa, zinazoratibu mambo ya ajira hapa nchini. Kwa ufupi niliwahi kuzungumzia...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-x5qgU_cv884/Vg11PhWrtfI/AAAAAAABePM/OohkazCSfJY/s72-c/SSRA%2Blogo.png)
Wafanyakazi watakiwa kufuatilia makato yao
![](http://3.bp.blogspot.com/-x5qgU_cv884/Vg11PhWrtfI/AAAAAAABePM/OohkazCSfJY/s640/SSRA%2Blogo.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jNPWGXKyPEU/Vg11NMaDOmI/AAAAAAABePE/IfFgrE_kc-g/s640/Ansgar%2BMushi.png)
Na Mwandishi wetu, DodomaWANACHAMA wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii wametakiwa kufuatilia makato yao kwa kuwa baadhi ya waajiri wanachelewa kupeleka makato yao. Mbali na hilo, waajiri wa mmetakiwa kutowalazimisha wafanyakazi wao kujiunga na mfuko wasioupenda badala yake wapewe nafasi ya kujieleza. Kauli hiyo, ilitolewa jana na Ofisa Tehama wa Mamlaka ya Usimamizi na...
11 years ago
Habarileo22 May
Wakulima wahoji makato kwa Dola
WAKULIMA wa kahawa mkoani Kigoma wameitaka serikali mkoani humo kutatua tatizo la makato kwa mfumo wa Dola ya Marekani wakati wa mauzo yanayofanywa na Bodi ya Kahawa nchini.
10 years ago
Mwananchi19 Oct
TFF, klabu wapeana muda kujadili makato