Malipo, makato ya ujira kisheria
KATIKA makala zangu za huko nyuma niliwahi kuzungumzia juu ya haki mbalimbali za wafanyakazi kwa mujibu wa sheria kama zilivyoainishwa, zinazoratibu mambo ya ajira hapa nchini. Kwa ufupi niliwahi kuzungumzia...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Likizo kwa malipo iko kisheria, siyo msaada
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Watoto waajiriwa kwa ujira wa ndama
BAADHI ya watoto wilayani Nkasi, Rukwa hasa maeneo ya vijijini, wamekuwa wakiajiriwa na familia za wafugaji kwa ujira wa ndama mmoja kwa mwaka. Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa habari hizi,...
9 years ago
Habarileo21 Aug
Ujira sekta isiyo rasmi kuboreshwa
SERIKALI imesema inaendelea kuangalia namna ya kuboresha mishahara kwa wafanyakazi wa sekta isiyo rasmi wapate manufaa ambayo yataweza kubadilisha maisha yao kutoka hatua moja hadi nyingine. Baadhi ya sekta zinazoangaliwa ni pamoja na wajenzi, wafanyakazi wa saluni na madereva wa muda mfupi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9whBoo1pTWNapwI0SlUIHt5GlwnvDqfl04yqEK8tuhpDRSk6itTx4qH-ZK9qcok83z5--vqX-*vqnoN0HpPRMw0UqtXlyiJ3/Manuel_Pellegrini_2767052b.jpg?width=650)
PELLEGRINI ATAPATAPA KUTETEA UJIRA WAKE MANCITY
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Vibarua wa usafi Singida wagoma kushinikiza ujira wa toka Novemba
Na Nathaniel Limu, Singida
VIBARUA wanawake 15 walioajiriwa kufanya kazi ya usafi kwa muda na manispaa ya Singida,wamegoma kuendelea kufanya usafi hadi hapo watakapolipwa ujira/posho yao kuanzia novemba mwaka jana hadi machi 31...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
TRL walalamikia makato ya bima
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Suala la makato lahojiwa bungeni
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Madiwani walalamikia makato benki
11 years ago
Habarileo21 Jun
Walimu wa leseni kurejeshewa makato
WALIMU wa leseni walioajiriwa na Serikali na kupewa mafunzo ya awali na ya ualimu ya muda wa mwezi mmoja, waliokatwa mshahara wao kwa ajili ya kuchangia Chama cha Walimu Tanzania (CWT), watarudishiwa makato hayo.