Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vibarua wa usafi Singida wagoma kushinikiza ujira wa toka Novemba

DSC04887

Baadhi ya wanawake walioajiriwa kufanya kazi kwa muda ya kuufanyia usafi mji wa Singida,wakiwa wamelundikana katika ofisi ya makao makuu ya manispaa ya Singida,baada ya kuambiwa hakuna fedha za kulipa ujira wao kuanzia Novemba mwaka jana hadi Machi 31 mwaka huu.

Na Nathaniel Limu, Singida

VIBARUA wanawake 15 walioajiriwa kufanya kazi ya usafi kwa muda na manispaa ya Singida,wamegoma kuendelea kufanya usafi hadi hapo watakapolipwa ujira/posho yao kuanzia novemba mwaka jana hadi machi 31...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Vibarua wa usafi Bunda wagoma

Sehemu ya mji mdogo wa Bunda, mkoani Mara.VIBARUA wanaofanya usafi katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Bunda, katika Mkoa wa Mara, wamegoma kuendelea na kazi hiyo kutokana na kutokulipwa mshahara wao kwa muda wa miezi miwili.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Mlata ashiriki zoezi la usafi Manispaa ya Singida

IMG_1128

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida, Martha Mosses Mlata, akishiriki kutekeleza agizo ya rais Dk. John Pombe Magufuli la Watanzania wote kufanya usafi katika maeneo yao, kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru kutimiza miaka 54, kwa kufanya usafi kwenye chuo cha wasioona cha mjini hapa. Pamoja na kufanya usafi chuoni hapo, Mlata alitoa msaada wa vifaa mbalimbali ikiwemo viti vya plastiki 150.Thamani ya msaada huo, ni zaidi ya shilingi 6.3  milioni. IMG_1124 IMG_1132 IMG_1142 Mbunge wa viti maalum...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI NOVEMBA 3, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu November 3, 2015.
Watu 6 wamefariki dunia na 1 kujeruhiwa katika matukio 4 tofauti yaliyotokea mkoani Singida toka oktoba 31 na November 1.
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama Vya siasa nchini Peter Mziray avishauri vyama vya siasa kutumia baraza hilo kutatua Migogoro kwa Njia ya Mazungumzo. https://youtu.be/Z90lI_ga7Mg
Wahamiaji Haramu raia Wa Ethiopia waliokamatwa wakiwa ndani ya lori wamehukumiwa kutumikia kifungo cha...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI NOVEMBA 2,2015

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu November 2, 2015.
Chama cha mapinduzi mkoani Lindi kimewataka watanzania kuungana pamoja katika kujenga nchi ili kusaidia utekelezaji wa Dkt. Magufuli.Hali ya kisiasa Visiwani Zanzibar inaendelea shwari huku wananchi wakiendelea na shughuli zao za kila siku kama ilivyo kawaida. https://youtu.be/WcX-Npbsmbg
Mitihani ya kidato cha nne imeanza kufanyika leo nchini kote ambapo watahiniwa 448, 358 wamesajiliwa kufanya...

 

10 years ago

Habarileo

Wastaafu wafanya vurugu kushinikiza pensheni zao

WASTAAFU kutoka taasisi mbalimbali za Serikali, walifanya vurugu katika ofisi ya Wizara ya Fedha (Hazina) juzi baada ya kutolipwa pensheni zao za Oktoba na kushinikiza wapatiwe stahiki zao kwa wakati.

 

9 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya jana Jumamosi Novemba 7 na ratiba ya michezo ya leo Novemba 8 katika ligi kubwa tano (5) barani Ulaya

Soccer results

ENGLAND – PRIMEAR LEAGUE

Bournemouth 0 –  1 Newcastle United

West Ham United 1 – 1 Everton

Sunderland 0 – 1 Southampton

Norwich City 1 – 0 Swansea City

Manchester United 2 – 0 West Bromwich Albion

Leicester City 2 – 1 Watford

Stoke City 1 – 0 Chelsea 

HISPANIA- PRIMERA DIVISION

Celta de Vigo 1 – 5 Valencia

Levante 1 – 1 Deportivo de La Coruña

Eibar 3 – 1 Getafe

Rayo Vallecano 2 – 1 Granada

Málaga 0 – 1 Real Betis

UJERUMANI – BUNDESLIGA

FSV Mainz 2 – 0 VfL Wolfsburg

Bayer Leverkusen 1 – 2...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malipo, makato ya ujira kisheria

KATIKA makala zangu za huko nyuma niliwahi kuzungumzia juu ya haki mbalimbali za wafanyakazi kwa mujibu wa sheria kama zilivyoainishwa, zinazoratibu mambo ya ajira hapa nchini. Kwa ufupi niliwahi kuzungumzia...

 

9 years ago

Habarileo

Ujira sekta isiyo rasmi kuboreshwa

SERIKALI imesema inaendelea kuangalia namna ya kuboresha mishahara kwa wafanyakazi wa sekta isiyo rasmi wapate manufaa ambayo yataweza kubadilisha maisha yao kutoka hatua moja hadi nyingine. Baadhi ya sekta zinazoangaliwa ni pamoja na wajenzi, wafanyakazi wa saluni na madereva wa muda mfupi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto waajiriwa kwa ujira wa ndama

BAADHI ya watoto wilayani Nkasi, Rukwa hasa maeneo ya vijijini, wamekuwa wakiajiriwa na familia za wafugaji kwa ujira wa ndama mmoja kwa mwaka. Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa habari hizi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani