UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI NOVEMBA 3, 2015.
![](http://img.youtube.com/vi/tXA-_nAnEkU/default.jpg)
Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu November 3, 2015.
Watu 6 wamefariki dunia na 1 kujeruhiwa katika matukio 4 tofauti yaliyotokea mkoani Singida toka oktoba 31 na November 1.
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama Vya siasa nchini Peter Mziray avishauri vyama vya siasa kutumia baraza hilo kutatua Migogoro kwa Njia ya Mazungumzo. https://youtu.be/Z90lI_ga7Mg
Wahamiaji Haramu raia Wa Ethiopia waliokamatwa wakiwa ndani ya lori wamehukumiwa kutumikia kifungo cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/rXxjzA3bCvY/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI NOVEMBA 2,2015
Chama cha mapinduzi mkoani Lindi kimewataka watanzania kuungana pamoja katika kujenga nchi ili kusaidia utekelezaji wa Dkt. Magufuli.Hali ya kisiasa Visiwani Zanzibar inaendelea shwari huku wananchi wakiendelea na shughuli zao za kila siku kama ilivyo kawaida. https://youtu.be/WcX-Npbsmbg
Mitihani ya kidato cha nne imeanza kufanyika leo nchini kote ambapo watahiniwa 448, 358 wamesajiliwa kufanya...
9 years ago
Michuzi18 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 18, 2015.
Spika wa Bunge la Tanzania Anne makinda na Viongozi wa Vyama na serikali washiriki katika mazishi ya Mbunge wa Ludewa Marehemu Deo Filikunjombe. https://youtu.be/p_E20X5YaNE
Wastani wa wanawake milioni 1 duniani huugua wa saratani huku asilimia kubwa ya vifo vya wanawake hutokana na saratani ya shingo ya kizazi. https://youtu.be/ytCtaSi6qJs
Waziri mkuu Mizengo Pinda amewaasa viongozi wa serikali...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/uiLocx34ki4/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 16, 2015.
SIMUtv: Fuatilia namna ambavyo vuguvugu la kampeni za uchaguzi Mkuu linavyoweza kusababisha vurugugu siku ya uchaguzi https://youtu.be/EUyKaqh2fgQ
SIMUtv: Tambua ni kwa kiasi gani sera za wagombea kutoka vyama mbalimbali zimegusia saula la kupunguza ajari za...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/itd2VI1KZHw/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI NOVEMBA2,2015.
SIMUtv: Baad ya kuburuzwa katika mechi za ligi kuu ,kocha wa timu ya Kagera Sugar akiri timu haiku sawa hivyo kupelekea matokeo mabayaSIMUtv: Ligi ya mpira wa kikapu imeendelea kurindima jiji Dar Es Salaam huku makocha wakitoa changamoto zinazokabili ligi hiyo; https://youtu.be/3FnnqjPczrQSIMUtv: Fuatilia mada ya siku ya leo ambapo inaangazia kuhusu jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na sheria za utendaji...
9 years ago
Michuzi22 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 22, 2015.
SIMUtv: Fuatilia mwenendo na uchambuzi wa kampeni za vyama mbalimbali za lala salama baada ya kusalia masaa 48 kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka huu
SIMUtv: Katibu wa chama cha madereva TADU, Rashid saleh akizungumzia vitendo vya wamiliki wa vyombo vya usafirishaji kuwaadhibu madereva: https://youtu.be/ne2li6v5HN8
SIMUtv: Tambua namna ambayo Nchi imejiandaa kulinda amani siku ya uchaguzi zikiwa zimesalia...
9 years ago
Michuzi20 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 20, 2015.
Kamati ya Saidia Taifa Stars ishinde yatoa dira kuhakikisha timu hiyo inashinda katika michezo yake ya kimataifa ;https://youtu.be/x5PxjRc9zpY
Shirikisho la soka Ulaya UEFA yatangaza ratiba ya mechi za mchujo za timu zitakazowania kufuzu kucheza finali za Ulaya mwakani nchini Ufaransa ; https://youtu.be/aq31NLL6HHg
NEC imewatahadharisha wananchi kuwa hakuna kifungu cha sheria kinachoruhusu mtu kubakia...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Ad5Ja3Srsl4/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OCTOBER 14, 2015
Raisi Jakaya Kikwete anatarajia kuongoza shughuli ya kuzima mwenge wa uhuru mjini Dodoma ikiambatana na Maadhimisho Ya Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere. Wafanyakazi wa Uchumi Supermarket jijini Dar wamelazimika kulala ndani ya ofisi ya kampuni hiyo kushinikiza madai yao. https://youtu.be/-B413uOYQvQ Raisi Kikwete Jana amezindua mtambo wa kufua umeme wa gesi asilia eneo la kinyerezi utakaozalisha Mega Watt...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/AOgHEHRNyLQ/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 26, 2015.
SIMUtv: Waangalizi wa ndani wa uchaguzi ambao ni muungano wa Asasi Mbili CEMOT umetoa matokeo ya awali muda mchache baada ya kupiga kura.SIMUtv: Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Zanzibar imetangaza matokeo rasmi ya majimbo 2 ya ubunge na madiwani katika majimbo ya Fuoni Na Kiembesamaki. https://youtu.be/YKGnxP4NJ2E
SIMUtv: Timu ya Manchester City imerejea kileleni katika ligi kuu ya England baada ya Kutoka suluhu na...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/IAUBveMznrg/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 23, 2015.