Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OCTOBER 14, 2015

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Oktoba 14 2014
 Raisi Jakaya Kikwete anatarajia kuongoza shughuli ya kuzima mwenge wa uhuru mjini Dodoma ikiambatana na Maadhimisho Ya Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere. Wafanyakazi wa Uchumi Supermarket jijini Dar wamelazimika kulala ndani ya ofisi ya kampuni hiyo kushinikiza madai yao. https://youtu.be/-B413uOYQvQ   Raisi Kikwete Jana amezindua mtambo wa kufua umeme wa gesi asilia eneo la kinyerezi utakaozalisha Mega Watt...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OCTOBER 9, 2015.

HUU ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni October 9, 2015
Ch 10Dk.Slaa aibuka tena. Lowasa aota kuibiwa kura. Pata habari kemukemu za kisiasa katika magazeti ya leo;  https://youtu.be/wwJ7xOz3U1U
TbcLowassa, Kingunge moto Arusha. Magufuli amlipua Mbatia, ampigia debe Mrema. Pata habari kutoka magazetini hapa Simu.tv; https://youtu.be/m8TTuFjk5rk 
STAR TVSimbachawene asema madini yaliyochimbwa ni asilimia 10. Vigogo wa NCCR kumng’oa Mbatia. Fahamu yalichoandika...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OCTOBER 8, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni October 7, 2015
STAR TVJaji Warioba asema msimamo wake juu ya katiba upo palepale. Mchina aburuzwa kortini kwa kukamatwa na meno ya tembo. Pitia dondoo za magazeti; https://youtu.be/HtGgKZ3A8Ls
TBCSiri ya mgao wa umeme hii hapa. Gazeti la Nipashe linabebwa na taarifa hiyo katika ukurasa wake wa mbele siku ya leo;  https://youtu.be/AXA-msJWfDM
Ch 10JK aongoza maelfu  kumuaga mchungaji Mtikali. Zitto akaliwa kooni. Pata...

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OCTOBER 27, 2015.


Wakazi Wa Kata Ya Saranga jijini Dar Jana wamefanikiwa  kupiga kura ya mbunge na Raisi baada ya kuahirishwa kwa zoezi hilo Oktoba 25. https://youtu.be/vIOP_RKkwuU
Matokeo ya uchaguzi katika jimbo la Mtwara mjini Yametangazwa na msimamizi wa jimbo hilo huku kukiwa na hali ya Vurugu. https://youtu.be/CY2Y2WnYkaM
Jeshi la polisi Visiwani Zanzibar limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wafuasi wa CUF waliokusanyika katika ofisi za CUF. https://youtu.be/944jzWlWh6kMwenyekiti wa Tume Ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani