Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI NOVEMBA 2,2015

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu November 2, 2015.
Chama cha mapinduzi mkoani Lindi kimewataka watanzania kuungana pamoja katika kujenga nchi ili kusaidia utekelezaji wa Dkt. Magufuli.Hali ya kisiasa Visiwani Zanzibar inaendelea shwari huku wananchi wakiendelea na shughuli zao za kila siku kama ilivyo kawaida. https://youtu.be/WcX-Npbsmbg
Mitihani ya kidato cha nne imeanza kufanyika leo nchini kote ambapo watahiniwa 448, 358 wamesajiliwa kufanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI NOVEMBA 3, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu November 3, 2015.
Watu 6 wamefariki dunia na 1 kujeruhiwa katika matukio 4 tofauti yaliyotokea mkoani Singida toka oktoba 31 na November 1.
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama Vya siasa nchini Peter Mziray avishauri vyama vya siasa kutumia baraza hilo kutatua Migogoro kwa Njia ya Mazungumzo. https://youtu.be/Z90lI_ga7Mg
Wahamiaji Haramu raia Wa Ethiopia waliokamatwa wakiwa ndani ya lori wamehukumiwa kutumikia kifungo cha...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 18, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Usiku Huu October 18, 2015.
Spika wa Bunge la Tanzania Anne makinda na Viongozi wa Vyama na serikali washiriki katika mazishi ya Mbunge wa Ludewa Marehemu Deo Filikunjombe. https://youtu.be/p_E20X5YaNE
Wastani wa wanawake milioni 1 duniani huugua wa saratani huku asilimia kubwa ya vifo vya wanawake hutokana na  saratani ya shingo ya kizazi. https://youtu.be/ytCtaSi6qJs
Waziri mkuu Mizengo Pinda amewaasa viongozi wa serikali...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 16, 2015.

SIMUtv: Utambue mpango wa kujitolea kuwasaidia watanzania kiafya ikiwemo magojwa ya saratani ya matiti na magojwa mengine yasioambukizwa:Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni October 17, 2015.
SIMUtv: Fuatilia namna ambavyo vuguvugu la kampeni za uchaguzi Mkuu linavyoweza kusababisha vurugugu siku ya uchaguzi https://youtu.be/EUyKaqh2fgQ
SIMUtv: Tambua ni kwa kiasi gani sera za wagombea kutoka vyama mbalimbali zimegusia saula la kupunguza ajari za...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI NOVEMBA2,2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni November 2, 2015.
SIMUtv: Baad ya kuburuzwa katika mechi za ligi kuu ,kocha wa timu ya Kagera Sugar akiri timu haiku sawa hivyo kupelekea matokeo mabayaSIMUtv: Ligi ya mpira wa kikapu imeendelea kurindima  jiji Dar Es Salaam huku makocha wakitoa changamoto zinazokabili ligi hiyo;  https://youtu.be/3FnnqjPczrQSIMUtv: Fuatilia mada ya siku ya leo ambapo inaangazia kuhusu jeshi la zimamoto na uokoaji  pamoja na sheria za utendaji...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 22, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Asubuhi Hii October 22, 2015.
SIMUtv: Fuatilia mwenendo na uchambuzi wa kampeni za vyama mbalimbali za lala salama baada ya kusalia masaa 48 kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka  huu
SIMUtv: Katibu wa chama cha madereva TADU, Rashid  saleh akizungumzia vitendo vya wamiliki wa vyombo vya usafirishaji kuwaadhibu madereva: https://youtu.be/ne2li6v5HN8
SIMUtv: Tambua namna ambayo Nchi imejiandaa kulinda amani siku ya uchaguzi zikiwa zimesalia...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 20, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni  October 20, 2015.
Kamati ya Saidia Taifa Stars ishinde yatoa dira kuhakikisha timu hiyo inashinda   katika michezo yake ya kimataifa ;https://youtu.be/x5PxjRc9zpY
Shirikisho la soka Ulaya UEFA yatangaza ratiba ya mechi za mchujo za timu zitakazowania   kufuzu kucheza finali  za Ulaya mwakani nchini Ufaransa ; https://youtu.be/aq31NLL6HHg
NEC imewatahadharisha wananchi kuwa hakuna kifungu cha sheria kinachoruhusu mtu kubakia...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OCTOBER 14, 2015

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Oktoba 14 2014
 Raisi Jakaya Kikwete anatarajia kuongoza shughuli ya kuzima mwenge wa uhuru mjini Dodoma ikiambatana na Maadhimisho Ya Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere. Wafanyakazi wa Uchumi Supermarket jijini Dar wamelazimika kulala ndani ya ofisi ya kampuni hiyo kushinikiza madai yao. https://youtu.be/-B413uOYQvQ   Raisi Kikwete Jana amezindua mtambo wa kufua umeme wa gesi asilia eneo la kinyerezi utakaozalisha Mega Watt...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 26, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni October 26, 2015.
SIMUtv: Waangalizi wa ndani wa uchaguzi ambao ni muungano wa Asasi Mbili CEMOT umetoa matokeo ya awali muda mchache baada ya kupiga kura.SIMUtv: Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Zanzibar imetangaza matokeo rasmi ya majimbo 2 ya ubunge na madiwani katika majimbo ya Fuoni Na Kiembesamaki. https://youtu.be/YKGnxP4NJ2E 
SIMUtv: Timu ya Manchester City imerejea kileleni katika ligi kuu ya England baada ya Kutoka suluhu na...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 23, 2015.

Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu October 23, 2015.Klabu ya soka ya Azam FC imeendelea kukabana koo na Mabingwa wa Ligi kuu soka Klabu Ya Yanga baada ya kufikisha Pointi 19 sawa na YangaTimu Ya soka Ya Stand United ya shinyanga imrjinasibu na kusema wembe ni ule ule wa ushindi ili kushika usukani wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. https://youtu.be/GDoHdphwLMA  Timu ya Taifa Ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kuweka kambi ya kujinoa kuikabili Aljeria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani